lucky sabasaba
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 1,656
- 1,204
hahahahaha hv n kweli wanaoshaga magariii??Kazi za kubeba mabox kwa bibi zimekwisha zimebakia kuosha magari tu..wabongo hawataki kwenda tena..
hamna ni ushindani a kibiashara wao wamekazania ndege za kizamaani ila kwenye nauli sio siri walikuwa poa sanaTatizo tanzania hatujaweka mazingira mazuri kwa ajiri ya airlines...kuanzia uwanja wetu wa ndege hauvutii hata kidogo ndege kubwa kuweza kutua..hulinganishi na kenyata int airport..hiyo ni moja..pili wasafiri wenyewe wapo wapi ???british airways inatoka lagos nigeria direct to landon mara tano kila siku na inajaa!!tujue kuwa wanalipa ushuru mkubwa kutumia uwanja wetu hivyo wanaangalia faida pia...hakuna wateja wa uhakika ndio maans ata air tanzania ilikufa
ushindani kaka hawauweziBaada ya kuwa Tanzania kwa kipindi cha muda mrefu sana shirika la ndege la Uingereza British Airways sasa kufunga virago tarehe March 29,2013...Source Michuzi Blog.
Maswali ya kujiuliza...
Hivi ni kwa nini haya mashirika makubwa yamekuwa yakiondoka Tanzania??walianza wajerumani(Lufthansa),wakaja Warusi(Aeroflot),wakaja Waitaliano(Alitalia)...Lakini haya mashirika ukienda Kenya utayakuta pale Nairobi.
Ndege za warabu zinawanyima biashara..
Bei zao ni reasonable na wana destinations za kumwaga ndo maana wazungu wanadata..
Bado KLM nae kutolewa mchezoni kwa customer care yao mbovu ya wahudumu wa Kidutch maana kwa american destinations Turkish ashaanza kuteka soko..
Chezea Turkish wewe kila baada ya dakika kazaa cabin crew anakugusa bega " bro have a drink with Tabasam la nguvu,, mdomo haunuki safari nzima unakula na kunywa kama harusini
Tatizo tanzania hatujaweka mazingira mazuri kwa ajiri ya airlines...kuanzia uwanja wetu wa ndege hauvutii hata kidogo ndege kubwa kuweza kutua..hulinganishi na kenyata int airport..hiyo ni moja..pili wasafiri wenyewe wapo wapi ???british airways inatoka lagos nigeria direct to landon mara tano kila siku na inajaa!!tujue kuwa wanalipa ushuru mkubwa kutumia uwanja wetu hivyo wanaangalia faida pia...hakuna wateja wa uhakika ndio maans ata air tanzania ilikufa
BA na KLM ni madaladala. BA sucks. Mambo yote Emirates, Qatar, Cathay, Singapore
Hii vita ya ugaidi kwa sasa inawageukia wenyewe.Wazungu ni wabaguzi na wasumbufu sana.Wataporomoka kwa mengi.Waislamu wakikusudia kwenda nchi zao wanapata wakati mgumu ndio maana wanapendelea sana kufanya biashara na China na India na kama ni matibabu pia hakuna kitu Ulaya ukilinganisha na India.Hii itaonesha kuwa takwimu za sensa za Kikwete ni hewa.Ukweli ni kuwa waislamu ni wengi Tanzania hivyo usishangae hayo makampuni yakasekaseka kubaki huko Afrika Kusini na Kenya.Inawezekana ushindani
Swali - ushindani huo uko tanzania tu, haupo huko kenya? kiasi kwamba bado wanaoperate ukizingatia JKenyata airport ni turning point ya EA.
Vipi uchumi wa kenya hasa kimaendeleo na upatikanaji wa wasafiri ni sawa na Dar
Na Je South afrika nako wamejitoa au Ni Tanzania tu? na kwanini waanzie TZ sio SA au Kenya?
Hii vita ya ugaidi kwa sasa inawageukia wenyewe.Wazungu ni wabaguzi na wasumbufu sana.Wataporomoka kwa mengi.Waislamu wakikusudia kwenda nchi zao wanapata wakati mgumu ndio maana wanapendelea sana kufanya biashara na China na India na kama ni matibabu pia hakuna kitu Ulaya ukilinganisha na India.Hii itaonesha kuwa takwimu za sensa za Kikwete ni hewa.Ukweli ni kuwa waislamu ni wengi Tanzania hivyo usishangae hayo makampuni yakasekaseka kubaki huko Afrika Kusini na Kenya.
Tatizo tanzania hatujaweka mazingira mazuri kwa ajiri ya airlines...kuanzia uwanja wetu wa ndege hauvutii hata kidogo ndege kubwa kuweza kutua..hulinganishi na kenyata int airport..hiyo ni moja..pili wasafiri wenyewe wapo wapi ???british airways inatoka lagos nigeria direct to landon mara tano kila siku na inajaa!!tujue kuwa wanalipa ushuru mkubwa kutumia uwanja wetu hivyo wanaangalia faida pia...hakuna wateja wa uhakika ndio maans ata air tanzania ilikufa
Not necessarily mkuu!
As far as I'm concerned, quality of service vs value for money kati ya BA na Emirates hazi tofautini sana.
Emirates wanaweza kuwa na ndege mpya zaidi, lakini gharama zao za tiketi kwenda Dar es Salaam ni juu ukilinganisha na BA.
BA wanachaji dola 60 kwa sanduku la pili la kilo 23, wakati Emirates wanaruhusu masanduku mawili ya kilo 23 bure kwa gharama unayolipia tiketi, lakini at end of the day ukipiga mahesabu utagundua kuwa gharama za BA na Emirates ni almost equivalent haswa kwa wale Wasafiri waliozoea kusafiri na masanduku mawili kama wale wanaotokea USA na Canada.
Tatizo lingine na BA ni kwamba Wasafiri wao kutoka USA na Canada kwa kawaida wanakuwa na layover time ya hadi masaa 12 kutoka London Heathrow, kitu ambacho Emirates watakuwa wamejaribu kudili nalo, lakini sidhani itasaidia sana, maana sanasana wanaweza kukutoa mapema London Heathrow, lakini utaishia kutumia muda wako wa kusubiri ukiwa angani kwenda Dubai na baadaye mara baada ya ndege kutua Dubai utakaa pale masaa kadhaa huku ukisubiri connection flight ya kwenda Dar, ambayo kwa sasa ni moja tu kwa siku.
Emirates ndege zao ni mpya, nzuri na safi. Air hostess ni kama models! Hakuna layover ya masaa mengi kule Dubai. siku zote nikija bongo natoka JFK to Dubai, na nafika Dubai around 8am, by 11am nimesha-board flight from Dubai to Dar.
BA, midege inayoletwa Africa ni zile zilizochoka. Service is ok but not fancy. Plus, utakaa Heathrow for 10 hours ukitoka most of North American destinations. Cabin crews wazee na wana attitude. To me BA/KLM ni daladala.
I'll be sticking with Emirates or Qatar
Unamaanisha kwa bi Samoye Mtwara?:mwaaah:Tutawafuata Nairobi...halafu....hivi ATC haiendagi kwa bibi.....?
Ndege za BA ni safi tu, sijui unamaanisha nini unavyosema "ndege zilizochoka" wakati mtu mwenyewe nadhani utakuwa unasafiri economy class. It doesn't impact anything at all in quality or safety of flight. Mtabanana tu economy class whether its B767 ya BA au B777 ya Emirates.
Halafu why make such a big deal kuhusu umri wa cabin crew?
Unapanda ndege ili ufike destination yako, au unakuwa na mipango ya ku-make a pass at some cabin crew along the way?
Kama ni chaguo kati ya chicken au beef au kati ya soda na bia, utahudumiwa more or less with the same level of respect kwenye BA na Emirates bila kujali umri wa cabin crew.
Kwa ujumla arguments zako kwa mtazamo wangu are totally irrelevant.