Bro hafai kabisa. Ukweni wamechoka sana. Hawana hamu

fyddell am speechless😍I love you more than there are grains of sand on every beach of every planet of every galaxy of the universe😍 I need you in my life😍I need you more than humans need water and food to survive😍
Wooh... this is so wonderful to hear from gorgeous lady like you my love. With me you'll survive the stormy🥰🥰
 
Tatizo wtu wengi hawaelewi dhana ya Mahari.

Kwanza kabisa Mahari inaweza tajwa hata milioni 100 na ukalipa 1000 na ukachukue mkeo mkaendelea na maisha.Unapoenda kulipa mahari huendi kununua mke bila ni mila na desturi tu na kwa kawaida hutakiwi kulipa mahari yote maana tafsiri yake ni dharau na kutokutaka undugu au uhusiano.

So kwa ufupi Bro ako alizingua ila nafikiri walimzingua kwenye Msosi.

Tatizo ni watu kutokuelewa desturi ya mahari na pia baadhi ya watu kufikiri kwamba ni chanzo cha mapato.
 
I remember the first day when you looked at me, you just glanced and smiled🥰. What would I do if I don't have you baby!
My baby man😍you reminds me
alot😍I never thought love is so sweet until you showed up into my life😍

I am sending you ALL the love, all the strength and all the abundance that is YOURS😍
 
Mm ni mpole na nikiamua nimeamua ila jamaa ametisha sana japo maamuzi sio mazuri aliyoyafanya.
 
My baby man😍you reminds me
alot😍I never thought love is so sweet until you showed up into my life😍

I am sending you ALL the love, all the strength and all the abundance that is YOURS😍
May the God's grace be upon ourselves until our last day in this earth my love🥰❤️🥰
With all my heart I love you my queen🥰
 
Last three years bro alikuwa anaenda kutoa mahari kwa kabila moja huko Kanda ya Kaskazini. Ni bro wangu wa damu kabisa baada ya yeye ndo mimi. Hivyo tukachukuana kwenye usafiri hao mpaka huko. Mimi, bro, uncle, rafiki na mshenga tuliambiwa tungempata kule kule.

Tukaenda Ukweni. Siku ya kwanza ikabidi tuonane na mshenga tuyajenge kwanza na tufahamiane. Bro wangu naye ni mpole sana kama mimi. Huwa mnaweza kaa hata masaa 3 hamjaongea kitu. Hapendi kabisa kuongea ongea.

Basi kesho yake tukaenda ukweni. Tumefika harakati nyingi zinaendelea. Watu wana mishe mishe za kumwaga. Ikafika wakati wa msosi. Tukaona tu wakwe wanaitana wanaenda wanakula wakifurahia. Tukasubiri sana muda umeenda saa 10 hiyo.

Wale ndugu ukweni wamekula wameshiba ndo wanatuita nasi tukale. Bro aligoma. Akadai amefunga. Tukashangaa amefunga masaa ya mchana tu? Maana bfast tuligonga naye vizuri tu soup na chapati.

Anyway sisi wengine tukaenda kizushi tu maana chakula chenyewe walishapakua mapande makubwa ya nyama n.k wamebakiza mifupa tu. Mi nikachukua ndizi chache sana.

Tumekula sasa tumekaa. Tumalize kilichotupeleka. Na mipango ni kuwa tumalize mahari pale pale siku ile ile. Basi yakatajwa mambo kadhaa ikafika kwenye mahari. Mjomba mtu anasema mahari ni tsh mil 8. Haipungui hata sent tano. Mshenga akabembeleza sana. Wakagomea hapo. Sisi tulijipanga mahari halisi isizidi Mil 5.

Jamaa wakagoma. Bro muda wote huo yupo kimya ila mimi nlisha mwona hayupo sawa. Maana alishaanza kufinya finya macho. Namjua akianza hivyo maana yake amekasirika.

Basi akasimama ghafla na kusema haina shida. Pale center kuna ATM au Mawakala wa kutoa pesa. Wale wakwe wakajibu kwa haraka sana wapo. Kwa Assey wanatoa hadi Mil 10.

Bro akaniambia twende dogo akamwita na mshenga na mjomba. Wakaja nje akasema twendeni tukatoe pesa. Mshenga akasema wao wasubiri mle ndani. Sisi tuende. Basi tukaingia garini na kuanza kuelekea center. Nikamwona bro anakanyaga mafuta mpaka hotel tuliyofikia.

Akamtumia mshenga tsh 100, 000. Akamtuma dereva taxi mmoja aende kule ukweni akamchukue Mjomba. Akazima simu. Shughuli akaniambia ndo kamaliza.

Bro wala hakutaka kuongea. Nami namjua. So sikutaka muuliza. Huwa akiamua anakuwa ameshaamua. Kule wakachanganyikiwa. Mjomba akaja amefura hasira. Bro alimwambia tu kwa sasa hata Mil 2 ya mahari halipi ameghairi. Kesho tunarudi Dar. Akaingia room.

Mshenga alinitafuta kesho nikamwambia jamaa ameghairi. Wakwe wakaanza kumwambia mshenga amrudishe kijana wakayajenge ni mila tu. Bro akatuambia tupande garini na mizigo maana hatutarudi tena Hotelin. Tukapanda na akaanzisha safari kurudi Dar. Simu kazima.

Shem alikuja mwenyewe Dar. Bro alimwambia safari hii wakitaka mahari waifuate Dar. Akamtia mimba wanaishi wote kwa sasa na two kids. Wakwe walitumiwa tu pesa za zawadi n.k ila hawana hamu kabisa na bro.
hongera zake huyo bro. hakukuwa na njia nzuri zaidi ya hiyo
anakunywaga nini?
 
Duuuuh.
Mtaji wa kwenda kuchukua mzigo China kuna mtu anaenda kulipia mbunye. Pambafu kabisa. Akina sisi tuliolipia mahari laki 3 na bado binti bikra tupewe maua yetu.
 
Back
Top Bottom