Bro. Ogopa matapeli, mwanamke akitaka kukupa penzi anakuja mwenyewe na nauli yake

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,095
Reaction score
13,016
Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu.

Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati.

Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji.

Sasa Kuna mwamba nipo nae hapa bar toka 12 jion katuma 40k demu kauchuna, mwamba kapiga simu zinafika missed call 50 na massage kama zote. Demu anampa tu matumaini nakuja, ila kwa sisi wazoefu tunajua imeisha hiyo. Bro demu akitaka kudinywa, anakuja yeye mwenyewe na nauli yake, kama hana atachukua boda unatalipia akifika.
 
IMG-20260704-WA0107.jpg
 
Mzee acha ujinga, mwanaume akiwa na hela na AKimpenda mwanamke jua umetombewa
 
Ndege wafananao..............
 
Attachments

  • FB_IMG_1781616575839.jpg
    FB_IMG_1781616575839.jpg
    24.3 KB · Views: 12
Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu.

Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati.

Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji.

Sasa Kuna mwamba nipo nae hapa bar toka 12 jion katuma 40k demu kauchuna, mwamba kapiga simu zinafika missed call 50 na massage kama zote. Demu anampa tu matumaini nakuja, ila kwa sisi wazoefu tunajua imeisha hiyo. Bro demu akitaka kudinywa, anakuja yeye mwenyewe na nauli yake, kama hana atachukua boda unatalipia akifika.
Wallah vile
 
Umekumbusha Anneth wangu..mtt zikiwa zimempanda tu dk mbili yuko mlangoni...ilq ndo ivo mapenz nyoko
 
Back
Top Bottom