Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,646
- 10,442
Hivi inakuwaje mwanaume mzima unafikia hatua ya kupiga simu na kutuma meseji za kuombaomba michango ya sherehe ya harusi yako?
Unajikuta ghafula umeungwa kwenye group la harusi, humo bwana harusi mtarajiwa anajidhalilisha kwa kuombaomba michango mpaka unaona aibu wewe.
Hivi ni lazima uchangishe watu kwa ajili ya tukio la kukaoa hako kamwanamke kako?
By the way harusi ni utoto sana na ujinga na fake event, unapanda range na kamalaya kako kesho tunawaona kwenye IST au daladala umeshikilia bomba.
Hakuna mtu aliyewahi kupokea tuzo ya harusi bora. Usijimalize na madeni na kujidhalilisha kuombaomba.
Fanya sherehe yako ndogo, alika watu wachache utakaowamudu ifanye sherehe yako ipendeze tunza kumbukumbu ya picha na video.
Anzisha ndoa yako in peace not pressure. Usitake kuwaimpress watu for one day halafu ukabaki na years of stress za madeni.
Marriage is for life. The wedding is for a day.
Ni ngumu sana kubakiwa na hela, kufikisha hiyo mil 100 inategemea na circle ya watu uliyo nayo.Kwenye jamii yetu huwa tunachanga mtu anafanya mpaka harusi ya mil 100 , kamati ya harusi wanabalance hiyo hela maharusi wanaweza bakiwa na hata million 30 za kuanza maisha , na hapo kuna zawadi za kutosha😄
Sisi huwa tuna kamati za ukoo mambo kama mazishi harusi na hata ugonjwa huwa wana dili nayo yote mkuu, na wanachaguliwa watu wanojiweza sio tia tia maji tu😁😁Ni ngumu sana kubakiwa na hela, kufikisha hiyo mil 100 inategemea na circle ya watu uliyo nayo.
Kadiri kibunda kinavyomuwa kikubwa ndiyo na madalali watajitokeza kwenye kamati utasikia nina mtu wangu wa mapambo hupamba hata mikutano ya kamati kuu ya CCM taifa
Kuna mmoja aliipanga kamati ana watu wa muziki wanaopiga fiesta
Wewe uhangaike kujidhalilisha kuombaomn wenzako wanakudalalalia bado haujaibiwa zawadi
Hapa sasa ndio unatakiwa wewe mwanaume usimame kama wewe unachotaka ndio kifanyikeKuna hiki kitu haujagundua.
Na naongea kwa uzoefu binafsi na marafik rika zangu wa karibu.
Asilimia kubwa ya vijana hatutak kufanya sherehe ya Harusi. Ila huwez kukaa na Mtoto wa mtu ndan had ufanye baadh ya process.
Kwahiyo unavyoanza kutoa taarifa kwa wazaz. Wao sasa wanashika hatam ya kukuongoza uanzie wap na wap. Unakubaliana na mambo yote (kupeleka barua, kupeleka posa/mahar kujitambulisha au kuvalisha pete. , ) ila likija sasa kwenye sendoff na sherehe ya harusi vijana tunapinga kidogo kwa kusema mm sina marafik weng na harus ni gharama.
mzaz/mlezi anakuambia ni Lazima. Mm nimechanga za watu weng na kuhudhuria sherehe zao. Alaf ww uoe bila harus. Haiwezekan.
nitaita Ndugu zako vikao tutashikana mashati na utaoa kwa sherehe.
Na upande wa kike pia unaweza kuamua kama upande wa kiume.
Na hizi zote vijana weng Hatupend. Ila sasa wazaz washaamua.
Kwahiyo na ww inabidi ukomae kutafuta hela kwa marafik kufikia budget ya harusi. (Ndio huo Usumbufu unaouona) wengne anaweza hata asikutafute miaka 5 alaf gafla anapiga sim kukualika kwa kukao na siku ikifika hata usipoenda watapiga sim ya kuomba pledge yako.
Kama ni Mshkaj wako, uwezo unao, au unajua kuna siku utaomba msaada kwake pia kwa namna yoyote. mpe tu Sapport 😂😂😂😂
Hapa sasa ndio unatakiwa wewe mwanaume usimame kama wewe unachotaka ndio kifanyike
Ukishaanza kuambiwa usihofu tutakuchangia tunywe hata maji
Basi ujue ndio umeshajiingiza kwenye kuwa ombaomba na hatari ya madeni
Ukishaingia kwenye mtego wa michango ya harusi huchomoki. Hili ni kundi ambalo kuchomoka ni ngumu kweli kweli. Kanuni : 1. Katu usichangishe fedha kwa ajili ya harusi yako au yeyote unayemjua. 2. Usihudhurie vikao vya harusi vya yeyote 3. Ukiombwa mchango jibu kwa ujasiri kuwa wewe hujishughulishi na mambo ya harusi kabisa ila unaweza kuchangia maharusi eg sufuria ya kuanzia maisha.Hapana kaka kuna mambo ya msingi ya kusaidiana ambayo jamii hawasaidiani mfano matibabu na elimu
Ila likihusu huu ujinga wa harusi na sherehe za kipumbavu unakuta watu wanachangiana
Yote ni sababu wanajua watakuja kuila pesa yao
Dunia ina unafiki sana
Sahihi kabisa mkuu, hapa sasa umeongea hoja yenye mashikoKama hauna Uwezo wa harus sio lazima kufanya Sherehe.
Utafuata taratibu zote na utafunga ndoa . Alaf unafanya kasherehe kadogo tu. Home. Hata wakiwepo watu 20 inatosha.
Muhim ni Ndoa na taratibu zote zinazohitajika kufuatwa.
Ila sio lazima Sherehe.
Umemaliza mkuuKanuni : 1. Katu usichangishe fedha kwa ajili ya harusi yako au yeyote unayemjua. 2. Usihudhurie vikao vya harusi vya yeyote 3. Ukiombwa mchango jibu kwa ujasiri kuwa wewe hujishughulishi na mambo ya harusi kabisa ila unaweza kuchangia maharusi eg sufuria ya kuanzia maisha.
Sahihi kabisa mkuu, hapa sasa umeongea hoja yenye mashiko
Cha muhimu ni ndoa harusi ni mbwembwe tu
Utakuta kuna ile bwana harusi anaulizwa siku ya kikao cha kwanza, umejipangaje?
Utakuta kijana hata bado hajasettlle kimaisha anajimaliza nina milioni 2, pumbavu sana hiyo 2mln kafanye jambo la msingi la kuanzia maisha na mkeo
Cha muhimu cheti
Kwenye haya mambo ya maandalizi ya harusi kuna mtego mbaya sana hasa kuwaamini watoa ahadi na hata washua wakisema wana watuIla washua wakikuambia jua wanajua karibia 60% wanauwezo wa kukusanya.
Wengi tu utaona wanasema wao na familia zao wana kiasi fulani lakini ukiangalia hicho kiasi hakiendani na life lao.Trust me Bro.
Narudia pale pale.
Weng ni Maelekezo kutoka kwa wazazi/walezi.
Hakuna Mwanaume ana 2 Miln na ambaye hajajipata alaf aitishe watu kuamua kuoa.
Na Ukiona hivyo jua kuna fursa atapata baada ya kuoa.
(Familia ya wanawake ni matajiri au familia yake imemuahid kitu kikubwa).
Vijana hawatak sherehe ya Harusi.
Hasa hawa 25-30 yrs.
Kwenye haya mambo ya maandalizi ya harusi kuna mtego mbaya sana hasa kuwaamini watoa ahadi na hata washua wakisema wana watu
Ule usiku wa Jumamosi muziki ukizimwa na watu wakisepa ni wewe na mkeo mtahangaika kulipia palipokuwa na upungufu. Hasa wewe mwanaume
Huu ni ukweli kabisa.Hivi inakuwaje mwanaume mzima unafikia hatua ya kupiga simu na kutuma meseji za kuombaomba michango ya sherehe ya harusi yako?
Unajikuta ghafula umeungwa kwenye group la harusi, humo bwana harusi mtarajiwa anajidhalilisha kwa kuombaomba michango mpaka unaona aibu wewe.
Hivi ni lazima uchangishe watu kwa ajili ya tukio la kukaoa hako kamwanamke kako?
By the way harusi ni utoto sana na ujinga na fake event, unapanda range na kamalaya kako kesho tunawaona kwenye IST au daladala umeshikilia bomba.
Hakuna mtu aliyewahi kupokea tuzo ya harusi bora. Usijimalize na madeni na kujidhalilisha kuombaomba.
Fanya sherehe yako ndogo, alika watu wachache utakaowamudu ifanye sherehe yako ipendeze tunza kumbukumbu ya picha na video.
Anzisha ndoa yako in peace not pressure. Usitake kuwaimpress watu for one day halafu ukabaki na years of stress za madeni.
Marriage is for life. The wedding is for a day.
Kama ni upendo si wataleta zawadi siku ya harusi yako?Kuomba mchango wa harusi kwa ndugu jamaa,ndugu na marafiki haimaanishi kuwa nimeshindwa kumudu gharama za harusi bali,mchango kutoka kwa ndugu huashiria upendo,amani na mshikamano miongoni mwa wanandugu.