Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

de'levis ??
 
Katika majira haya yenye kelele zisizo na ala, tunalazimika kunyoosha antenna zetu kupokea kile ambacho hakijasemwa wazi. Japo mitetemo ya chini ya ardhi haionekani kwa macho ya kawaida, waliofunzwa kusoma hewa tayari wameshaweka dots kwenye ramani ya mwelekeo.

Kwa muda mrefu, baadhi ya wahudumu wa mwanga bandia wamekuwa wakicheza michezo ya kivuli, wakijivika kanzu za rohoni huku wakitekeleza protokali za kitengo kisicho rasmi. Wanajifanya manabii, kumbe ni ma-agent wa mpango unaofadhiliwa nje ya perimeter ya Taifa.

Katika lugha ya operesheni, wamekuwa wakipiga soft codes kuhusu β€œmwisho wa mpango”, wakitumia maneno ya kiroho kufunika intel drops za ajenda ya kupindua msitari wa amri kuu. Kaburi halijachimbwa, lakini wao tayari wana orodha ya wasomaji wa hitma.

Operesheni yao iliitwa β€œDark Days”. Ilijikita kwenye principle ya target destabilization. Malengo yakiwa ni mmoja, lakini njia walizochagua zilikuwa za kuteremka giza kwa kutumia taa za bandia. Kwa bahati mbaya kwao, mlengwa aliingia kwenye secured zone kabla ya trigger sequence kutimia.

Taarifa za deep comms kutoka kwenye mitaa ya kimya zimeshatambua walengwa na walengaji. Aliyevaa kivuli cha username sasa ana sura kamili kwenye mfumo wa face recognition. Hawa si wapambanaji wa haki, bali ni watoa taarifa bandia kwa bei ya kiapo cha hila.

Harakati za kutabiri β€œmabalaa ya uchaguzi mkuu” zilikuwa sehemu ya psyop campaign. Wengine waliingiza jina la mpita njia maarufu kwenye skripti ya mwelekeo wa bendera, lakini kwenye meza ya war room, script yao ilishakataliwa.

Wamesahau kuwa baadhi ya maombi ni silaha za kimya. And those who pray in encrypted tongues have already activated firewall ya taifa. Vazi lao la uaminifu sasa limechanwa, na mfumo wa kufuatilia miendo yao uko kwenye live monitoring.

Kwa sasa, watendaji wa kazi ya chini ya ardhi wameingia phase two: neutralization ya propaganda, kufuta metadata ya hila, na kuzuia access ya red zone kwa wale waliopoteza malengo.

Kwa kifupi, kifaa cha kufukua kaburi kimefungiwa. Wale waliotumwa kwa giza sasa wamelazimika kutafuta nuru bandia ya kukimbilia. And just as it’s said in the field: He who operates at dawn will face dusk before his time.
"Hebu pitia hiyo post ya infiltrator"
 
Ina maana Kuna kitengo nje ya dhima kuu ya taifa kiliratibu mpango ambao ulishindikana kutimia Kwa muono wao!!ndio ule britanicca aliandika MUHA alishtukia mpango wao akamweleza KIBAIGWA NA DEAL IKA BUMA!?
Huyu infilrator ni mtoa post hii au yule wa" Dark days" yule wa dark days kweli kishaonekana team aliyopo ambayo Kwa mujibu wake ni born town the invisible akiwa upande wake!!

Nataka kujua legitimate ya sequence za operation za mwandishi huyu alieileta kibwagizo Cha "Brother" kama ana baraka za chini ya ardhi au lah!!Kwa sababu ana signature ya deep comms Kwa chini kila baada ya andiko lake!!

comment yako hii nimeisoma mara nyingi lakini nimegundua kuna kitengo kiovu chenye ku take advantage ya matukio "dark days" na kitengo halisi kilicho deep down!!

Kama utasaidia hii tutapata mantiki ya sequence ya maandiko haya!!

Wasalimie walio deep!je hao ni pamoja na wendazake walio ardhi ya kwanza wanaosaidia kutupa majina ya wanaofaa kushika huku kwenye mwanga!!?
 
Huyu hawezi kurudi kujibu kazi ndo kwanza imeaza
 
Nilikuwa namwamini sana Tumia akili lakini kwa jinsi mambo yanavyokwenda ni kama taifa hili limetekwa na hakuna ambacho iwe DS, TIZ, JW, au kikundi chochote ambacho kina nguvu hawataweza kuwaondoa hawa Ccm labda itokee tu wavurugane wenyewe.

Nasema hivyo kwasababu taifa letu hili ni kama wenye nchi tumelala usingizi ambao siyo leo kuamka, ukiangalia mambo maovu yanavyoendelea nchini unaona kabisa hili taifa watu tumeamua liende kwa matakwa ya viongozi wa Ccm yawe mabaya au mazuri.

Angalia watu wanavyopotezwa na kuuawa lakini wananchi hatuko tayari kupaza hata sauti kidogo, hata wanapotokea wa kututetea kama kina Gwajiboy, Lissu, Mpina na Chadema kwa ujumla tunaishia kutabasamu tu na kuwaona majasiri wa kukemea Ccm bila kuangalia kuwa tunaotetewa ni sisi watu wa daraja la chini na kati. Sijui nini kifanyike ili tutoke kwenye huu mkwamo.

Deni la taifa kufikia 107 trillion kutoka approx 60 trillion alizoziacha Magu, zaidi ya ongezeko la 40 trillion ndani ya miaka 4 huwezi ukamwaminisha mtu kama taifa lina usalama wa taifa na hivyo vyombo vingine nilivyovitaja hapo juu. Usalama uliopo ni wa viongozi wa Ccm ndiyo maana wapo tayari kuwaua kina mdude wote wanaosababisha viongozi wasiishi kwa raha huku wakitumbua rasilimali lukuki za taifa hili huku watu wao wanakufa kwa kukosa Tshs 5000 ya kulipia dozi ya malaria.

Kina Tumia akili kama wana nia njema na taifa haihitaji tena kufuata urasmi wa mambo kuutokomeza huu uongozi na wote wanaofaidika nao ili hili taifa lianze upya. Tusifikiri kuwa Burkina Faso mapinduzi yalifanyika baada ya wanaume kuwa wanapakwa mafuta ili washughulikiwe bali ni mambo kama haya ikabidi wazalendo wawaunge mkono wajeda wakafanya yao.

Inasikitisha na kuumiza sana kwa kweli.
 
mzee tuupe mda huu uzi, japo tukiendelea ivi watoto na wajukuu zetu hawatakuta kitu kabisa
 
😁😁😁 Smiling killer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…