Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Zipo sehemu takatifu, ntawaambia, naona mtoto wa somo wa 'fredirich' amekaa pazuri, ila subira ni jambo jema.
Deo ni kilatini je ni kosa mtu kumpenda mtu?
Japo mashimo ni mengi usilazimishe mruko hasa wakati wa jioni kimo cha kunguru atafutae mijini kinatosha sana
Utaruhusiwa kuingia sharti kubwa ushughulike na wafitini ukiwaacha wajinga waweza shida, ila jiwe la manati litakuwa unyonya
 
Umepatia kidogo, nakupa 50%
 
Nimeandika, nikafuta! Nikaandika tena, nikafuta! Tena na Tena! Nimekosa cha kuandika maana tafakuri zimeulemea ubongo wangu!
Nilikuwa nawaza juu ya hatima ya vyawa!!! Kesho Yao itakuwa nzito mno ikiwa yatajiri haya yote.
Nawaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…