Brother, haya ndio yatakuwa mambo ya muhimu kwako katika siku zijazo

Mmh ngoja kwanza nitulie mpk bunge livunjwe,nianze kutiki moja baada ya lingine
 
Unajua kabla hujasoma uzi wa mtu angalia jina lake ndio uamue usome alichokiandika...

Hongera mkuu hakika taifa inahitaji vichwa kama chake, sio wale waimba mapambio
 
Master Tumia akili,
Mengi ni mipango mizuri sana kwa ustawi wa raia na Taifa kwa ujumla.
Ila mtekelezaji huyu huyu aliyezungukwa na Mafisadi pamoja na wasanii au pana mwingine?
 
Master Tumia akili,
Mengi ni mipango mizuri sana kwa ustawi wa raia na Taifa kwa ujumla.
Ila mtekelezaji huyu huyu aliyezungukwa na Mafisadi pamoja na wasanii au pana mwingine?
Soma namba Moja hapo juu!!Brother anaonekana anataka kuondoka lakini anaambiwa abaki,no rasmi no yuke alieomba kujiuzulu akalee wajukuu,pia
Pasco mayala aliwahi kuandika "Mpango ndio mpango mzima"

Kuna kipindi alipotea tukadhani kaenda kumbe labda alikua anafundwa Brother kabla hajashika hatamu!!
 
Itakuwa ni jambo njema hana kashfa Mzee wa watu, ni mwenye huruma..........

Ila ikumbukwe kuna chatu mmeza watu ndani ya kampuni, Kibabu Tabasamu umakini na tahadhari dhidi yake unahitajika.
 
Kama Taifa, tutakuwa tumejifunza kupitia hayo yaliyotokea hapa katikati

Ni matumaini yangu, operation iliyositishwa itaendelea kama ilivyotolewa taarifa hapa

Sisi wengine umri wetu umetutupa Mkono, tungependa tuiache Tanzania yenye maendeleo ikiongozwa Kwa misingi imara ya Katiba na Sheria zetu Kwa manufaa ya Vizazi vijavyo.

Kila la heri the state!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…