Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Hua ananichekeshaa mno huyo jamaa anaigiza kuongea lafudhi ya kiha, akiongea uongo hua nacheka mpaka basiiii teh teh tehh
Baba njelekela
Kuna mojaa jamaa alikuw anaforce kula mzgo
Ile anasema ana kiwi ....anaambiwa any we maji...
Jamaa n best comedian kwa bongo now....achilia mbali king majuto
namkubari sana yani mashati na suruali yake ukichanganya maneno na lafudhi yake naishiaga kucheka jamaa anajua aisee
huyu jamaa nomaa saana sikosi kumfuatiliaa ana kipaji saana ..jana nimecheka hadi basi