Brother K wa Futuhi

Brother K wa Futuhi

namkubari sana yani mashati na suruali yake ukichanganya maneno na lafudhi yake naishiaga kucheka jamaa anajua aisee
 
Hawa jamaa wako vizuri,masanja wanatakiwa wakajipange zaidi saivi hawana soko,jumapili niliwaangalia hamna chochote cha maana walichoonyesha,Futuhi iko poa sana.
 
Hua ananichekeshaa mno huyo jamaa anaigiza kuongea lafudhi ya kiha, akiongea uongo hua nacheka mpaka basiiii teh teh tehh
 
Hahaha huyu jamaa ni mwehu kabisa hahaha huwa ananiacha hoi.

attachment.php
 

Attachments

  • 1415908060738.jpg
    1415908060738.jpg
    38.7 KB · Views: 4,588
huyu jamaa nomaa saana sikosi kumfuatiliaa ana kipaji saana ..jana nimecheka hadi basi
 
Back
Top Bottom