wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Ana mashati kama ya le mutuz!!
Yee mwemwemweeee ngo inhiiiii jamaa kama sio mha yule basi yuko juu mbaya!!! Mimi naamin ni mha kama ni kuigiza basi anatosha!
Brother K anaitwa Alex Ngonyani kama sikosei, nafikiri atakuwa mngoni. Au labda kama mzazi wake mmoja ni muha
Unaweza kumlinganisha na babu mkombe au sharo wa kihaya?
Jamaa kama sio Muha basi amefanya research ya kutosha ya mkoa wa Kigoma. Kwa kweli anajitahidi sana.
Ila observation yangu ni kwamba wasi-base tu katika kutoa vichekesho bali vichekesho vyenye mafunzo. Mfano mzuri ni yule dada wa Kiganda Kansime ANNE. Anafanya vichekesho lakini katika hali iliyoboreshwa sana.Watu wa mataifa mbali mbali wanaweza kumfurahia Kansime.
Hawa jamaa hawajaanza leoKivipi?
nimekuwa nikiangalia futuhi tangu enzi za akina bab mkombe wa kulichombe....watu walikuwa wananishangaa sana kupenda futuh,Braza K mwisho wa njia.
Deo corleone nadhani huyu jamaa ni mwana lizombe mwenzio,maana wakina Ngonyani,Simba,Swala,Nguruwe,Fisi,Fungo ndio wa kwenu hao,sasa sijui Wewe jina lako sijui nani......ngoja nikisie...Deo Corleone Nyumbu hahaaaaaaa....
Nikashangaa why hajazungumziwa humu JF!!Hawa jamaa hawajaanza leo
Jamaa ni noma kwa sasa ndio anabamba kwa comedy bongo. Tengua kauli
Nikashangaa why hajazungumziwa humu JF!!
kama ni ngonyani basi ni wa kunyumba
pengine matimila,liula,mgazini,magagula,namabengo au mpitimbi!!
Nilikua sifahamu jina lake la serikali!!