Brother K wa Futuhi

Brother K wa Futuhi

Kwa yoyote anaihitaji kujiunga na kabila la waha awasiliane na mm,kumbuka form ni chache so wasiliana nasi mapema,hahah!
 
Yee mwemwemweeee ngo inhiiiii jamaa kama sio mha yule basi yuko juu mbaya!!! Mimi naamin ni mha kama ni kuigiza basi anatosha!
 
Brother K anaitwa Alex Ngonyani kama sikosei, nafikiri atakuwa mngoni. Au labda kama mzazi wake mmoja ni muha
 
Naanza kuimba ss,"Mmmmmmmmmmmm,naniliuu haahahaahaaaaaaaaa mmmmmm"
Jamaa ni noma
 
Brother K anaitwa Alex Ngonyani kama sikosei, nafikiri atakuwa mngoni. Au labda kama mzazi wake mmoja ni muha

Jamaa kama sio Muha basi amefanya research ya kutosha ya mkoa wa Kigoma. Kwa kweli anajitahidi sana.

Ila observation yangu ni kwamba wasi-base tu katika kutoa vichekesho bali vichekesho vyenye mafunzo. Mfano mzuri ni yule dada wa Kiganda Kansime ANNE. Anafanya vichekesho lakini katika hali iliyoboreshwa sana.Watu wa mataifa mbali mbali wanaweza kumfurahia Kansime.
 
Inawezekana akawa sio muha kabisa, ni kipaji chake tu. Daaah umenikumbusha Kansiime- the trouble maker hahaha...... Futuhi kuna muda inafundisha bana, tena sana tu
 
971378_161072814082579_2868802  92_n.jpg

Jamaa ni noma kwa sasa ndio anabamba kwa comedy bongo. Tengua kauli

Last edited by a moderator:
nimekuwa nikiangalia futuhi tangu enzi za akina bab mkombe wa kulichombe....watu walikuwa wananishangaa sana kupenda futuh,Braza K mwisho wa njia.

Deo corleone nadhani huyu jamaa ni mwana lizombe mwenzio,maana wakina Ngonyani,Simba,Swala,Nguruwe,Fisi,Fungo ndio wa kwenu hao,sasa sijui Wewe jina lako sijui nani......ngoja nikisie...Deo Corleone Nyumbu hahaaaaaaa....
 
Kama ni ngonyani basi ni wa kunyumba

Pengine matimila,liula,mgazini,magagula,namabengo au mpitimbi!!

Nilikua sifahamu jina lake la serikali!!
 
Back
Top Bottom