Brother K wa Futuhi

Brother K wa Futuhi

Hahahaaa ila video hii!!!! noma sn.
Nina kiwi, nitapotea niende zanzibar
 
Wale jamaa ni talented japo kuna muda wanaharibu nafkir tatzo nila production au kiongoz wao maana kuna jembe mmoja sijui yu wap skuiz mkombe wa kulichombe wa badili namna ya ufikishaj ujumbe na haswa Baragaza usimamiz wake ni muhimu sna Dogo yupo njema na naamin yupo vzur kuliko alipo saiv
 
Mkombe na wenzake flani nadhani walichukuliwa na channel 10, wakadhani wakija jiji la dar watatoka zaidi wakaanzisha kipindi chao channel 10 lakini kika prove failure sijui waliishia wapi.
Nilikuwa napenda kauli yake ya'' Kwani we wadhani kuna tatizo, hata hakuna tatizo, uko sawa kabisa''.
 
Dah yule jamaa m2 makin sana ila huenda maslah yalikuwa madogo akaona atapata unafuu aendapo kwahyo bdo yupo Dar
 
niko naangalia futuhi braza K ananiua mbavu na uchambuzi wake mziki wa zamani na mziki sasa.
Eti anasema wimbo umejaa ngololo sasa ngololo ndio lugha gani... Jamaa amenchekesha sana
 
Mkombe na wenzake flani nadhani walichukuliwa na channel 10, wakadhani wakija jiji la dar watatoka zaidi wakaanzisha kipindi chao channel 10 lakini kika prove failure sijui waliishia wapi.
Nilikuwa napenda kauli yake ya'' Kwani we wadhani kuna tatizo, hata hakuna tatizo, uko sawa kabisa''.

wanaonyesga kipindi chao TBC 2 kinaitwa Babatan
 
Mimi niliachaga kitambo kuangalia wakina masanja, vichwa vipo futuhi yaani hata Yule Makonde yupo juu zaidi ya joti
 
sitaki kuamini jamaa sio muha!
khe!
kumbe wa kunyumba?
ahaha.hahhahahaiah
 
Licha tuu ya kuchekesha ..ujumbe anafikisha 95% yupo juu funga kazi sip at picha angesimama na Mzee mkombe wakulichombe mnywa pombe mbele ya wapambe ukimkuta bar usimuombe pombe ukitakA msubiri nyumban akupe embe...no problem ya matatizo ndani ya jamii ya society.. hahaaaaaah
 
Zamani wakati futuhi imeanza alikuwepo Msukuma (au alikuwa anaigiza kama msukuma) kwenye hilo kundi naye alikuwa balaa kama brother K! Sijui alipotelea wapi! Kuna watu wamezaliwa ma-comedian tu jamani!
 
Back
Top Bottom