TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

So sad brother Pius, mr almas, mr mkumbwa Mungu awapumzishe kwa amani, namkumbuka mr.almas na mkewe dah dunia inamaumivu makali sana
Mr&Mrs Almas walipendana kama kumbikumbi. Mungu nae akaamua amchukue mmoja amwache mmoja.
Kipimo cha imani
 
Walipendana sana, walikuwa wanaishi kwa Mtei majengo yaani hadi sokoni unawakuta pamoja
Mr&Mrs Almas walipendana kama kumbikumbi. Mungu nae akaamua amchukue mmoja amwache mmoja.
Kipimo cha imani
 
Wewe ni Wa nyumbani kabisaa...without forgeting rufiji bar...hahaha.Mwalimu makondoo yuko kweli?
Makando bar nilikuwa nikitoroka tution naenda kuangalia kideo enzi hizo defao yuko juu na ile album ya Salanoki, pia awilo na Nimon Tokilala., acha kabisa,unajibana pembeni na wazee wanapiga kitochi,kiruu
 
Moyo wangu umehuzunika sana kwa kifo cha Mwlm wangu mpendwa Bro. Peter Lyimo, pumzika kwa amani mwalimu. Ntabaki nakumbuka usemi wako mkubwa wa "Punctuality in the morning" nawaza pia kama mzee Rama naye (mlinzi wa getini) angekuwa hai vile ambavyo angelia kwa uchungu kwa jinsi ulivyokuwa kipenzi chake


Mzee Rama yupo hai mzee Ali ndo alifariki
 
Back
Top Bottom