TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

Poleen sana wafiwa.MwenyezMungu akafanyike faraja katika kipindi hiki kiguumu na uku tukimuombea marehemu apumzike kwa amani
 
Poleen sana wafiwa.MwenyezMungu akafanyike faraja katika kipindi hiki kiguumu na uku tukimuombea marehemu apumzike kwa amani
Baada ya kifo ni hukumu, unamwombeaje mtu apumzike kwa amani?
Yaani unampanga Mungu?
 
Majengo secondary School taasisi ambayo watumishi wake hawakuwahi kuwa na wazo la kuacha kazi wala kutafuta kazi sehemu nyingine.
Management iliyowajali sana watumishi na watumishi wakawajali sana wateja wao wanafunzi

Mungu awapumzishe kwa amani, Tutawakumbuka daima🙏
Brother Peter Lyimo RIP
Brother Pius Kihuru RIP
Mr Mgimwa RIP
Mr Nyindo RIP
Mr Sendoro RIP
Mr Almas RIP
Mr Mkumbwa RIP
Chef mkuu Mr James RIP
hiki kikosi kazi chote kimetutoka, aisee Majengo kulikuwa na Pisi za hatari nakumbuka Akina Lusia franko, fausta franki, Giovani hawa walikuwa half cast wanakaa shnty town , shitu walitumia viungo vyao sana kwa watu mbalimbali
 
sisi ni binadamu tu,kumuombea Mtu haimanishi ni kumpanga Mungu,sisi tunamuombea tu na mengine Mungu anajua zaidi
Acha kujifariji uongo na nyie ndio mnasababisha watu flani wanaua wenzao wakijua wakifa wataombewa, hiyo haipo, bada ya kifo ni hukumu yako kwa uliyotenda hata dunia nzima ikuombee hamna kitu.
tuache unafki!
 
Hakua mpigaji
Hakumuonea mtu
Hakumuibia mtu
Hakuvunja nyumba ya mtu
Hakuharibu biashara za watu
Lengo lake lilikua kuinua Maisha ya wanyonge.
Sio Hawa vidudu mtu waliokuja duniani kuwapa wengine machungu
Ila naskia alikuwa Malaya Sana anatembea na vident ndo Mana akatolew pale na nafasi yake kuchukuliwa na kale keusi kafupi
 
Hao mabrother huwa na nadhiri ya useja kama
Mapadre?
Yes mabrother ni watawa wasiooa
Ikitokea moyo wako unakusukuma kuoa hata kama ni brother unafuata taratibu na unaruhusiwa kutoka kwenye utawa na kuubebaba wito wa ndoa
 
Ila naskia alikuwa Malaya Sana anatembea na vident ndo Mana akatolew pale na nafasi yake kuchukuliwa na kale keusi kafupi
Hiyo sidhan kama ilikua sababu maana zile pis za majengo kutafuna m1 au wawili is "understandable"...naona walimtoa kwa sababu ya perfomance na reputation ya shule ilivyokuwa .yaan majengo ilishajukllikana ni shule ya "wahuni"
 
Alivyohamishwa kuna siku akatembelea MJ niliona video wanafunzi wakiandamana kumtaka asiondoke & arudi kuwa mkuu wao, Ilibidi Polisi waje kumsaidia aondoke maana wanafunzi walizingira gari lake pande zote.

Hakika amepokelewa mbinguni na baba muumba.
Hawezi pokelewa alikuwa malaya
 
Pamoja na upendo mkubwa aliokua nao kwa staff wote na jamii, pamoja na wanafunzi waliokosa ada kusomeshwa bure na shirika kupitia uongozi wake, pamoja na wale wanafunzi bora walioongoza kwa wastani wa A kila kidato kulipiwa ada......
Wasiomjua brother Peter Lyimo haya ndio yalikua maisha yake na wanafunzi wake siku zote; bila kubagua rangi, jinsia, umri, uwezo alikua baba kwa kila mmoja. Rest well Brother

Tutaendelea kumshukuru Mungu kwaajili ya uhai wake
 
Inaonekana alikuwa poa Kila anayemjua anamsifia

Rest easy daddy
 
Back
Top Bottom