Mr&Mrs Almas walipendana kama kumbikumbi. Mungu nae akaamua amchukue mmoja amwache mmoja.So sad brother Pius, mr almas, mr mkumbwa Mungu awapumzishe kwa amani, namkumbuka mr.almas na mkewe dah dunia inamaumivu makali sana
Hivi unakumbuka ule usemi wa waswahili kuwa kizuri hakidumu🤔🤔RIP si bora Israel angemchukua hata maalim akatuachia huyu mwl
Mr&Mrs Almas walipendana kama kumbikumbi. Mungu nae akaamua amchukue mmoja amwache mmoja.
Kipimo cha imani
Hivi yupo?Mwl makondoo aka Baba Kichenge Muromboo
Wewe ni Wa nyumbani kabisaa...without forgeting rufiji bar...hahaha.Mwalimu makondoo yuko kweli?Pasipo shaka uklmekunywa mbege sana Makando bar au kusoma tution kwa Mwl Makondoo
Hahaha baba kichengee was so famous...watu tumetoka Mbali..nakumbuka tuition ya primary schoolMwl makondoo aka Baba Kichenge Muromboo
Makando bar nilikuwa nikitoroka tution naenda kuangalia kideo enzi hizo defao yuko juu na ile album ya Salanoki, pia awilo na Nimon Tokilala., acha kabisa,unajibana pembeni na wazee wanapiga kitochi,kiruuWewe ni Wa nyumbani kabisaa...without forgeting rufiji bar...hahaha.Mwalimu makondoo yuko kweli?
Wewe ni Wa nyumbani kabisaa...without forgeting rufiji bar...hahaha.Mwalimu makondoo yuko kweli?
Moyo wangu umehuzunika sana kwa kifo cha Mwlm wangu mpendwa Bro. Peter Lyimo, pumzika kwa amani mwalimu. Ntabaki nakumbuka usemi wako mkubwa wa "Punctuality in the morning" nawaza pia kama mzee Rama naye (mlinzi wa getini) angekuwa hai vile ambavyo angelia kwa uchungu kwa jinsi ulivyokuwa kipenzi chake