Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

Brothermen Nyandindi A.K.A O-Ten amechoka sana

Kwa fikra za mleta uzi, ndio maana watanzania wakisikia habari za 20% wanashangaa shangaa.

Be simple, lay low.
 
Sasa hapo amechokaje? Mbona anaonekana yuko poa tu
 
Napenda sana pombe napenda sana mademu, kifupi ni starehe... Nicheki nicheki
 
Akili ni kama nywelee,mazee, kila mtu ana zake, akili za Mr teacher, Juma nature ni tofauti za Venture,
Hili song Afande alibomoa sana, mistari iliyopangika inafunda kwa maneno yasiyofikirisha…..
Kuna swahiba angu mmoja alisema kuwa labda jamaa aliandika miaka kibao akawa anasubiri siku dogo (Philipo Nyandindi) aombe msamaha ili aporomoshe verse hili.

A
 
Hawa watoto utawaweza. Walimuona jamaa in his 20s sasa hivi yuko late 30s or early 40s na kaachia ndevu wanaona kachoka.
Wakimuona Bilionea Davis Mosha alivyojiweka sasa hawataamini.

Umri ukisonga hata looks inabadilika labda alitegemea amuone kavaa Supra/Fubu/Dior/Amiri/Miwani/Kapiga super black na hereni.
 
Hizi video zilizopostiwa na afande sele
Aisee jamaa amechoka sio yule aliyesumbua na nguo zake nyekundu
View attachment 2431391View attachment 2431392
Yani hata uyo anayemshangaa mwenzake soggy dog ashukuru mkewe kwa maisha ya usela nyaa anaoishi nao naye mda huu angekuwa kama mwenzake kuendekeza starehe za kishamba utaki kukubali muda umri umeenda una zaidi ya miaka 35 unataka kukaa sehemu za starehe mpaka saa nane au asubuhi kulewa lewa kishamba wenzao wanaenda dubei , mbugani uko na familia wewe unakomaa bar yani maish uliyoisho nayo kipindi underground utaki yaacha
 
Akili ni kama nywelee,mazee, kila mtu ana zake, akili za Mr teacher, Juma nature ni tofauti za Venture,
Hili song Afande alibomoa sana, mistari iliyopangika inafunda kwa maneno yasiyofikirisha…..
Kuna swahiba angu mmoja alisema kuwa labda jamaa aliandika miaka kibao akawa anasubiri siku dogo (Philipo Nyandindi) aombe msamaha ili aporomoshe verse hili.

A
Afande sele ni mtunzi mzuri sana

Afande sele ana vinasaba vya morogoro (mluguru upande wa baba na Kilimanjaro (Mchaga upande wa mama)

Sijui hizi skills zake amezitoa wap ..ila jamaa yuko smart sana upstairs

Kuna ile ngoma yake inaitwa Simba dume naikubali sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom