Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Spana NzitoMambo yake muachie mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Spana NzitoMambo yake muachie mwenyewe
Ndo hapo sasaKwani kakuomba hela ya kula?
Sasa kachoka kivipi mbona kwenye picha yupo fresh tu au unataka avae izo nguo nyekundu mpaka leo bila kujali zishapitwa na wakati au umri umeenda iyo sio fashion ya age yake tena?Hizi video zilizopostiwa na Afande Sele. Aisee jamaa amechoka, siyo yule aliyesumbua na nguo zake nyekundu.View attachment 2431373View attachment 2431375
"Kama hunijui naitwa Filipo Nyandindi na adui yangu mkubwa ni Seleman Msindi"Huyu si ndio kipindi kile alikua anasema kuna wakati anakimbia tu milupo hua anajificha Kora Hill kwasababu dingi yupo??? [emoji23][emoji23][emoji23]
"Naweka wazi adui yangu asinizike.. Hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee!!!" Kweli muda ni mwalimu tosha aisee"Kama hunijui naitwa Filipo Nyandindi na adui yangu mkubwa ni Seleman Msindi"
Wakimuona Bilionea Davis Mosha alivyojiweka sasa hawataamini.Hawa watoto utawaweza. Walimuona jamaa in his 20s sasa hivi yuko late 30s or early 40s na kaachia ndevu wanaona kachoka.
Yani hata uyo anayemshangaa mwenzake soggy dog ashukuru mkewe kwa maisha ya usela nyaa anaoishi nao naye mda huu angekuwa kama mwenzake kuendekeza starehe za kishamba utaki kukubali muda umri umeenda una zaidi ya miaka 35 unataka kukaa sehemu za starehe mpaka saa nane au asubuhi kulewa lewa kishamba wenzao wanaenda dubei , mbugani uko na familia wewe unakomaa bar yani maish uliyoisho nayo kipindi underground utaki yaachaHizi video zilizopostiwa na afande sele
Aisee jamaa amechoka sio yule aliyesumbua na nguo zake nyekundu
View attachment 2431391View attachment 2431392
Afande sele ni mtunzi mzuri sanaAkili ni kama nywelee,mazee, kila mtu ana zake, akili za Mr teacher, Juma nature ni tofauti za Venture,
Hili song Afande alibomoa sana, mistari iliyopangika inafunda kwa maneno yasiyofikirisha…..
Kuna swahiba angu mmoja alisema kuwa labda jamaa aliandika miaka kibao akawa anasubiri siku dogo (Philipo Nyandindi) aombe msamaha ili aporomoshe verse hili.
A
Umenikumbusha huu wimbo, yule aliyepiga chorus ni Mangustino, sijui yupo wapi"Naweka wazi adui yangu asinizike.. Hata muhuni yoyote asiyenipenda asisogee!!!" Kweli muda ni mwalimu tosha aisee