Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

Kivip mkuu tukumbushe ?
Screen Shot 2022-06-28 at 13.26.13.png

Aliwekewa sumu...

Taarifa kamili anazo Brandon Lee... (Siyo huyo kwenye picha, huyo ni mwanamke wake)
 
filamu zake hazivutii.

umitaka kung fu wavheck hawa.

jack chan
samo hhung
donie yuen


jet lee huyu uhslisia mdogo sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia picha ya Bruce Lee inaitwa Enter the Gragon Samo Hang alichofanywa na Bruce Lee.
Donie Yen anamkubali Brucee Lee mpaka anaigiza kumuota Bruce na mapigo yake ya Wing Chun
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
hapo kwenye mieleka ungemweka steve austin(stone cold?)au undertaker
 
Angalia picha ya Bruce Lee inaitwa Enter the Gragon Samo Hang alichofanywa na Bruce Lee.
Donie Yen anamkubali Brucee Lee mpaka anaigiza kumuota Bruce na mapigo yake ya Wing Chun
Sasa ile mwanangu hata Sammo Hung alikuwa hata sio staa wa filamu alikuwa ni teenager tu ambaye alicheza role ya Gym/dojo mate wa bruce Lee anbaye alipigana nae pambano lisilozidi hata dakika mbili..Lakini kiukweli mimi namuunga mkono jamaa Bruce Lee alikuw mtaalamu sana wa Martial arts ila yeye alifocus zaidi kwenye mapigo real yan maonyesho ya Martial arts kiuhalisia na sio kwenye filamu,huyu kwenye real life alitumia muda wake kwenye maonyeshi ya wazi na kupigana na mamasta wa madojo mengine kwenye miji ya Marekani tofauti na kina Jack na Sammo Hung na Yuen Biao ambao wao walideal sana na filamu na walikuwa wazuri sana kwenye action,drama and comedy lakini kiufundi na mbinu za kupigana walizidiwa kidgo na bruce
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Kwenye mieleka icon ni Undertaker huyu yupo tangu miaka ya sabini na kawadefeat majina makubwa pale WWE tangu enzi hizo kama Kina Andre the giant,Rick Fair na mpaka kizazi cha kina John Cena kimemkuta akiwa bado kwenye ubora wake na bado alikuwa mbabe
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Unapendelea mbona kuna sehm umeweka watu wa 2,Ondoa Tyson na maradona, Muache Pele na Mohamed Ally peke yao. Lkn kama unataka uweke wa wili kila sehem, basi mpachike Le bron james, Jack chen,na the Rock kwenye mieleka
 
Bruce lee huyu jamaa ni alikuwa anapiga kungfu za karne pia alikuwa na nguvu na mwili wa mazoezi
 
Nimeangalia documentary ya kumuhusu Bruce Lee, pamoja kuleta kitu tofauti kwenye sinema za wamarekani, bado Holliwood walimfunga kwenye malipo kwa vile hakuwa mzungu. Ubaguzi ndio sababu kubwa uliomfanya Bruce Lee arudi Hong Kong.
 
Ila hawa jamaa 666 wamepita na wengi sana watu maarufu duniani .
 
Back
Top Bottom