Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Ugaidi -OSAMA BIN LADEN
 
View attachment 2275279

Bruce lee Alikuwa mwana kareti wa kichina na Muigizaji mashuhuri wa Filamu.

Aliweza kufanya mambo yasiyo ya kawaida ya kustaajabisha .

Alikuwa na Uzani wa pondi 350 kipimo cha uzani wa mapigo.

Aliweza kupiga push up 1500 kwa mikono miwili.

Aliweza kupiga push up 400 kwa mkono mmoja, Alikuwa mashuhuri kwa kupiga push up 200 kwa vidole viwili vya mkono mmoja.


Alikuwa na uwezo wa kupiga push up 100 kwa kidole kimoja cha mkono mmoja recodi ambayo haijavunjwa na yeyote

View attachment 2275288
Bruce lee Alikuwa haraka katika mwendo na mapigo, kamera zililazimika kusetiwa kwa mwendo wa taratibu ili matendo yake yaweze kueleweka.

Aliruka kimo cha futi nane kimo ambacho sio cha kawaida.

View attachment 2275291

Alikuwa na mwili wenye nguvu sana ila hakuwa hivi
View attachment 2275302
Alikuwa hivi
View attachment 2275303
Aliweza kufanya mapigo elf tano ya kareti kwa siku na mapigo 8 kwa sekunde.
Huyu ndiye Bluce lee 1940-1973
Mwalimu wake IP Man umeshamsikia mkuu?
 
Haiwezi kuwa kweli ila mwendo wake wa kasi unatajwa kuwa kama umeme
Hapo juu Bruce Lee ametajwa kuwa alikuwa na frequency ya 8Hz. Umeme frequency yake ni 60Hz; acha kabisa kufanya mchezo na umeme; ACHA!
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Mkuu, hapo kwa John Cena hauko sahihi, huyu kaanza mieleka 2002. Kuna malegendary kama The undertaker n.k
 
Bruce Lee vitendo vyake kwenye mapigano vilikua vya speed kali sana.
Bruce Lee ndio bingwa wa one inch punch.
 
Sasa ile mwanangu hata Sammo Hung alikuwa hata sio staa wa filamu alikuwa ni teenager tu ambaye alicheza role ya Gym/dojo mate wa bruce Lee anbaye alipigana nae pambano lisilozidi hata dakika mbili..Lakini kiukweli mimi namuunga mkono jamaa Bruce Lee alikuw mtaalamu sana wa Martial arts ila yeye alifocus zaidi kwenye mapigo real yan maonyesho ya Martial arts kiuhalisia na sio kwenye filamu,huyu kwenye real life alitumia muda wake kwenye maonyeshi ya wazi na kupigana na mamasta wa madojo mengine kwenye miji ya Marekani tofauti na kina Jack na Sammo Hung na Yuen Biao ambao wao walideal sana na filamu na walikuwa wazuri sana kwenye action,drama and comedy lakini kiufundi na mbinu za kupigana walizidiwa kidgo na bruce
Jack chan ni chaplin aliyepoa.
 
sifa nyingi za bluce ni zile za marehemu.

ngumi 8 kwa sekunde jaman๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

aaaaah embu tuacheni
 
Back
Top Bottom