Bruce Lee - Mtu wa kustaajabisha zaidi Ulimwenguni

Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Ugaidi -OSAMA BIN LADEN
 
Mwalimu wake IP Man umeshamsikia mkuu?
 
Haiwezi kuwa kweli ila mwendo wake wa kasi unatajwa kuwa kama umeme
Hapo juu Bruce Lee ametajwa kuwa alikuwa na frequency ya 8Hz. Umeme frequency yake ni 60Hz; acha kabisa kufanya mchezo na umeme; ACHA!
 
Kila mchezo una icon wake,
Karate Bruce Lee
Kikapu- Michael Jordan
Muziki- Michael Jackson
Soka- Pele & Maradona
Ndonfi- Mohamed Ally & Tyson
Mieleka- John Cena
Mkuu, hapo kwa John Cena hauko sahihi, huyu kaanza mieleka 2002. Kuna malegendary kama The undertaker n.k
 
Bruce Lee vitendo vyake kwenye mapigano vilikua vya speed kali sana.
Bruce Lee ndio bingwa wa one inch punch.
 
Jack chan ni chaplin aliyepoa.
 
sifa nyingi za bluce ni zile za marehemu.

ngumi 8 kwa sekunde jamanπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

aaaaah embu tuacheni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…