Jozeey Junior
Member
- Aug 27, 2013
- 5
- 0
naomba msaada kuhusu hii course baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naomba msaada kuhusu hii course baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa
naomba msaada kuhusu hii course baadhi ya sehemu unazoweza kuajiriwa
sehemu kibao tu mfn kwenye mabenk as network obsever, system operator katika nyanja mbalimbali.
hio course kupata kazi saiv ni issue,sikutanii yaan,watu watu wanaikimbia hio course now,
Vipi kuhusu mishahara yao imekaaje? (Mishara ina range kuanzia ngapi?)
Unasoma coz gani au unawivu na wanaosoma hiyo coz?? Au huez tumia tu akili ya kuzaliwa ukaona dunia inabadilika kuelekea kwenye science na technology na ajila ndo zinazidi kuboom. Kwa taarifa yako sasa na wivu wako leo ndo ujue IT, Computer science zinasoko na watu wanatafutwa wanaokimbia hiyo coz na ambao hawawez mziki wake umenisikia acha upotishaji kabla ya research
Vipi kuhusu mishahara yao imekaaje? (Mishara ina range kuanzia ngapi?)
nina ndugu yangu kapiga hiyo aliazia laki 8 ila kwa sasa cjui coz mshahara unachange kila baada ya miez kadhaa, we uckate tamaa kakomae upige gpa ya maana watakutafuta tu.
180,000 mkuu hii ni ngazi ya cheti au?
Thanx bro. Hivi kwenye hiyo facaulty pia wanasoma na computer maintanance?
dogo naongea kitu kwa uhakika,hapo udsm amesoma kaka yangu amegraduate 2010 na wenzake mpaka leo hawana kazi tena vipanga sio kama vilaza wa saiv ,.zaman usdsm comp science ilikua unaingia na 1 tu saiv mpaka 3 za 16 wanaingia,na bado kuna slot,kila chu wanatoa hizo degree,wataajiriwa wangapi??we
hio course kupata kazi saiv ni issue,sikutanii yaan,watu watu wanaikimbia hio course now,
dogo naongea kitu kwa uhakika,hapo udsm amesoma kaka yangu amegraduate 2010 na wenzake mpaka leo hawana kazi tena vipanga sio kama vilaza wa saiv ,.zaman usdsm comp science ilikua unaingia na 1 tu saiv mpaka 3 za 16 wanaingia,na bado kuna slot,kila chu wanatoa hizo degree,wataajiriwa wangapi??we
Na vipi kuhusu ICT in business