BSc in computer science

BSc in computer science

Course yoyote ya IT ni very marketable. Kaz zipo sehemu kibao. Almodt kila office now ina networking inahitaji watu wa maintenance ...office kubwa zina database.
Mimi nasoma ICT. Nimefanya field kwenye office moja, watu wa diploma wanalipwa 800000 kwa mwezi
 
dogo naongea kitu kwa uhakika,hapo udsm amesoma kaka yangu amegraduate 2010 na wenzake mpaka leo hawana kazi tena vipanga sio kama vilaza wa saiv ,.zaman usdsm comp science ilikua unaingia na 1 tu saiv mpaka 3 za 16 wanaingia,na bado kuna slot,kila chu wanatoa hizo degree,wataajiriwa wangapi??we

Samahi mkuu unafahamu umri wangu? Ndi o adabu mnayofundishwa shuleni siku hizi? Wafahamu kazi yangu?? Kuwa na heshima sio wote wanaopost vitu jukwaa la elimu ni watoto wenzako sawa? Huna adabu
 
Muulize kakako alipata GPA ya ngapi? Kwenda chuo na one ya 3 sio kigezo za kufauli.
Yupo mwanafunzi Tanzania one 2006 mbona alidisco UD?

Jambo la msingi ni akienda chuo ajitahidi kusoma na GPA ianze atleast 3.5

kijana home kwetu hakuna historia ya vilaza,maana saiv yupo nida anakula hela,muulizie shaaban kesowani,akimaliza na 1 ya 5 benja pcm,chuo ana 4.1 amegraduate 2011,mchz wake anaitwa alcado alex katoka na 1 ya 4 kibaha na chuo alipiga 4.3 alisota mpaka alikua anafundisha shule feza boys,sema saiv ni tutorial SUA,mmoja anaitwa Ima hadi leo yupi kitaa anabangaiza na ana gpa ya 3.9,..kama una mtu alograduate bsc in comp science 2011 mwambie akuambie kuhusu hivy vichwa.,comp science now ni njaa tu,ucjipe moyo,sema labda ubahatike,hizo degree za comp now ni yebo yebo
 
kijana home kwetu hakuna historia ya vilaza,maana saiv yupo nida anakula hela,muulizie shaaban kesowani,akimaliza na (((1 ya 5 benja pcm)),chuo ana 4.1 amegraduate 2011,mchz wake anaitwa alcado alex katoka na 1 ya 4 kibaha na chuo alipiga 4.3 alisota mpaka alikua anafundisha shule feza boys,sema saiv ni tutorial SUA,mmoja anaitwa Ima hadi leo yupi kitaa anabangaiza na ana gpa ya 3.9,..kama una mtu alograduate bsc in comp science 2011 mwambie akuambie kuhusu hivy vichwa.,comp science now ni njaa tu,ucjipe moyo,sema labda ubahatike,hizo degree za comp now ni yebo yebo

kwani benja nako kunavichwa kwani?
 
Samahi mkuu unafahamu umri wangu? Ndi o adabu mnayofundishwa shuleni siku hizi? Wafahamu kazi yangu?? Kuwa na heshima sio wote wanaopost vitu jukwaa la elimu ni watoto wenzako sawa? Huna adabu

usinitishe na wewe kazi gani ulionayo?mpiga debe au konda,unafikiri nitakuogopa kwa kunitishia kazi,wewe wa wapi?nitakuomba msamaha kwa kukuita dogo ila usinitishe kwa kazi yako?itanisaidia nini mimi
 
Course yoyote ya IT ni very marketable. Kaz zipo sehemu kibao. Almodt kila office now ina networking inahitaji watu wa maintenance ...office kubwa zina database.
Mimi nasoma ICT. Nimefanya field kwenye office moja, watu wa diploma wanalipwa 800000 kwa mwezi

Kwa Mshahara wa laki8(800,000) ,ni wa mwenye PhD YA ICT 800,000/=
 
vichwa vipo tabora tu,,...huyo benja kapata 1 ya 5 2007,wewe umepata ngapi huko tabora?maana ungekua na div ya maana usingekwenda huko maporini wewe

Nimesoma o-level mzumbe ,a-level taboraboys nakote nimepiga one kali
 
tukuamini vipi?toa jina lako halisi tukufanyie research,sio unaogea una 1 kali wakati unasoma kwenye taasisi,wewe uwe na 1 kali kweli then uende huko kwenye taasisi,naomba jina lako halisi na mwaka uliomaliza hapo tabora,
 
kijana home kwetu hakuna historia ya vilaza,maana saiv yupo nida anakula hela,muulizie shaaban kesowani,akimaliza na 1 ya 5 benja pcm,chuo ana 4.1 amegraduate 2011,mchz wake anaitwa alcado alex katoka na 1 ya 4 kibaha na chuo alipiga 4.3 alisota mpaka alikua anafundisha shule feza boys,sema saiv ni tutorial SUA,mmoja anaitwa Ima hadi leo yupi kitaa anabangaiza na ana gpa ya 3.9,..kama una mtu alograduate bsc in comp science 2011 mwambie akuambie kuhusu hivy vichwa.,comp science now ni njaa tu,ucjipe moyo,sema labda ubahatike,hizo degree za comp now ni yebo yebo

Sikiliza ww, IT iko hivi-unatakiwa upige kazi tena ya ukweli, kama ni network, si A ya darasan, kuwa certified, database kadhalika, kazini hakuna mashindano ya kukariri, unatakiwa ujue vitu.

Na kweny interview wanachukuliwa watu wanaojibu maswali vizuri na lazima uoneshe nidhamu. Kuna watu wana maisha mazuri sana kwa cource ya CS.
Unaweza unaware na GPA kubwa kama hujui programming au database (hasa oracle ) au network UTABAKI UNAZUNGUMZA HISTORIA TU, NILIKUWA NOMA na mambo mengine
 
wewe si uliuliza kaka yangu alipata GPA ya ngapi?mbona sasa unabadilisha mada,hao niliokutajia walikua noma kila kona na wanajua kama kazi za IT ni mziki,mimi sitaki kubishana sana,ila nimeshawaona wengi tu,hebu fanya tathmin hio comp inatolea vyuo vingapi now na wanagraduate watu wangapi kila mwaka?na kazi zinatangaziwa ngapi?mpK TEKU kuna comp science si balaa hili
 
tukuamini vipi?toa jina lako halisi tukufanyie research,sio unaogea una 1 kali wakati unasoma kwenye taasisi,wewe uwe na 1 kali kweli then uende huko kwenye taasisi,naomba jina lako halisi na mwaka uliomaliza hapo tabora,

Una uhakika kabisa wanaosoma vyuo tofauti na udsm hawajapata one kali? nimesomea shule boraa tanzaniaaa
 
wewe si uliuliza kaka yangu alipata GPA ya ngapi?mbona sasa unabadilisha mada,hao niliokutajia walikua noma kila kona na wanajua kama kazi za IT ni mziki,mimi sitaki kubishana sana,ila nimeshawaona wengi tu,hebu fanya tathmin hio comp inatolea vyuo vingapi now na wanagraduate watu wangapi kila mwaka?na kazi zinatangaziwa ngapi?mpK TEKU kuna comp science si balaa hili

Kwani TEKU hawanauwezo wa kuendesha course ya computer science
 
ahaaaa,kumbe unajua hata shule za kawaida kuna vipanga eeh,basi usiulize kama benja kuna vipanga,
 
ndio hawana course rafik yangu yupo huko anasoma management info system anasema wababaishaji tu
 
shule bora hata top 10 haipo?ubora wa nn hapo?au wa kula ugali wa bure wa serikali,mnajivunia historia?
 
Shule bora ya wenye vipaji ,mwaka wetu PCM walichukua i.11 ,PCB I.12 ,HGL I.12 , Shule nzima tulikuwa na one ,vipanga
 
Back
Top Bottom