BSc in computer science

BSc in computer science

wewe si uliuliza kaka yangu alipata GPA ya ngapi?mbona sasa unabadilisha mada,hao niliokutajia walikua noma kila kona na wanajua kama kazi za IT ni mziki,mimi sitaki kubishana sana,ila nimeshawaona wengi tu,hebu fanya tathmin hio comp inatolea vyuo vingapi now na wanagraduate watu wangapi kila mwaka?na kazi zinatangaziwa ngapi?mpK TEKU kuna comp science si balaa hili

Ww unadhan kushindwa kwa kaka yako na wenzake ambao umejiridhisha kuwa ni noma NDO KILA MTU HATAPATA KAZI?

Kaka yako ni reference kwako na usifanye kuwa reference kwa kla mtu na si kla mtu ni kaka yako hadi akose kazi.
 
Shule bora ya wenye vipaji ,mwaka wetu PCM walichukua i.11 ,PCB I.12 ,HGL I.12 , Shule nzima tulikuwa na one ,vipanga

acha kudanganya umma,nina wasi wasi hata 2 huna wewe,vipanga hasa hawapigi kelele kama wewe,una 3 yako ya13 au 14 unatuletea mbwembwe
 
Ww unadhan kushindwa kwa kaka yako na wenzake ambao umejiridhisha kuwa ni noma NDO KILA MTU HATAPATA KAZI?

Kaka yako ni reference kwako na usifanye kuwa reference kwa kla mtu na si kla mtu ni kaka yako hadi akose kazi.

wewe huwa unasoma au unakurupuka tu,nimekwambia kaka yangu yupo NIDA,lakini anajua namba ya wanaofanya interview na wanaoajiriwa,wao waliajiriwa watatu lakini walifanya interview kama mia8,wewe lete ubishi wako uende ukafanye njaa
 
acha kudanganya umma,nina wasi wasi hata 2 huna wewe,vipanga hasa hawapigi kelele kama wewe,una 3 yako ya13 au 14 unatuletea mbwembwe

Hahahaha dogo darasa letu la HGL halikuwa three tuliishia ii(two)
 
wewe huwa unasoma au unakurupuka tu,nimekwambia kaka yangu yupo NIDA,lakini anajua namba ya wanaofanya interview na wanaoajiriwa,wao waliajiriwa watatu lakini walifanya interview kama mia8,wewe lete ubishi wako uende ukafanye njaa

Kaajiriwa NIDA mwaka gani?
 
Napita tu.....!!.!
lakini napenda kuona vilaza wakibishana bila kujua mbele yao kuna mavitu gani...
 
acha shobo wewe,sio kila post ucomment wewe,ndo maana mnamwagiwa tindikali

Damn it simpleton, you're kinda a mongrel community...

mtoto wa kiume kwa umri wako ukianza kuimba taarabu, wahuni tutakuomba mavi tuchomvye-chomvye
 
Bsc Computer science hailipi hasa hasa kwa Tanzania. Watu wengi nawafahamu wanakazi na walisoma hiyo hiyo kozi lakini mishahara yao iko chini sana. Wengi wanashabikia tu wala hawajakupa alternative. Kama ningekuwa katika position yako I would have gone for Electrical, Control engineering or Electronics. Hapo unahukakika wa kazi na mshahara mzuri. With Bsc in Electrical/electronics/Control engineering- Unaweza ajiriwa na telecom company, electrical company, migodini, oil and gas company wanahitaji watu wenye knowledge ya control engineering. Sidhani kama bongo control engineering wanafundisha lakini ukisoma electrical and electronics basi kuna kozi za control such as Automatic control, PLC and SCADA, renewable energy resource.
 
najua umeshapata ujumbe,mtoto wa kiume shobo kama dada poa,.

Sorry cobber i'm not after quarels with a mediocre....

a time will reach that you'll understand how worth my words are.... dont bother explain what stuffs i mean, behind your back you'll loosen your naught bikini and i'll do the rest between your limbs... pole sikupenda tufike huku
 
good boy,but kijana unatafuta mabifu ya kijinga,wewe kama una maneno machafu its okeey but hizo shobo zako zinakufanya kila post ya humu JF jukwaa la elimu unataka kucomment wewe sio issue,sio kila kitu unakijua wewe,i thought wewe ni mstaarabu but nimeamini mtu mweusi ni mweusi tu hawezi kubadilika,,all the best
 
good boy,but kijana unatafuta mabifu ya kijinga,wwe kama una maneno machafu its okeey but hizo shobo zako zinakufanya kila post ya humu JF jukwaa la elimu unataka kucomment wewe sio issue,sio kila kitu unakijua wewe,i thought wewe ni mstaarabu but nimeamini mtu mweusi ni mweusi tu hawezi kubadilika,,all the best

Pole sana sikutaka tufike huku...

kwamba natafuta mabifu ya kijinga; you're just too hilarious with your bizarre thoughts , who'd grant me for that, hope non at alk, what to do with..??
Kwamba nacomment kila post; i'm a senior expert member why not do so, right to post anything anywhere anyhow as long as no violation is made....

kwamba mimi ni mweusi; its fine kama unaturudisha to those early 90s during racism and apartheid but if you're talking of my smartness nahisi umechanganya mafile....

Nimekubali fedheha na dhihaka nilizoangushiwa, but sikutaka tufike huku...
lala dogo sipendi ban hata robo mwaka sijafikisha
 
Back
Top Bottom