nimahussein
Senior Member
- Sep 17, 2013
- 181
- 27
Pole sana sikutaka tufike huku...
kwamba natafuta mabifu ya kijinga; you're just too hilarious with your bizarre thoughts , who'd grant me for that, hope non at alk, what to do with..??
Kwamba nacomment kila post; i'm a senior expert member why not do so, right to post anything anywhere anyhow as long as no violation is made....
kwamba mimi ni mweusi; its fine kama unaturudisha to those early 90s during racism and apartheid but if you're talking of my smartness nahisi umechanganya mafile....
Nimekubali fedheha na dhihaka nilizoangushiwa, but sikutaka tufike huku...
lala dogo sipendi ban hata robo mwaka sijafikisha
sijaongelea ubaguzi hapa,mm mwenyewe ni mweusi but nimeongea tabia za watu weusi,..na sijakataa kuwa usicomment but unatakiwa ukipinga kitu uwe unapinga kwa hoja,sio unakuja tu na kuwaita watu vilaza,naomba yaishie hapa,.mimi nalala