BSc in computer science

hio course kupata kazi saiv ni issue,sikutanii yaan,watu watu wanaikimbia hio course now,
 
hio course kupata kazi saiv ni issue,sikutanii yaan,watu watu wanaikimbia hio course now,

Unasoma coz gani au unawivu na wanaosoma hiyo coz?? Au huez tumia tu akili ya kuzaliwa ukaona dunia inabadilika kuelekea kwenye science na technology na ajila ndo zinazidi kuboom. Kwa taarifa yako sasa na wivu wako leo ndo ujue IT, Computer science zinasoko na watu wanatafutwa wanaokimbia hiyo coz na ambao hawawez mziki wake umenisikia acha upotishaji kabla ya research
 

dogo naongea kitu kwa uhakika,hapo udsm amesoma kaka yangu amegraduate 2010 na wenzake mpaka leo hawana kazi tena vipanga sio kama vilaza wa saiv ,.zaman usdsm comp science ilikua unaingia na 1 tu saiv mpaka 3 za 16 wanaingia,na bado kuna slot,kila chu wanatoa hizo degree,wataajiriwa wangapi??we
 
Vipi kuhusu mishahara yao imekaaje? (Mishara ina range kuanzia ngapi?)

nina ndugu yangu kapiga hiyo aliazia laki 8 ila kwa sasa cjui coz mshahara unachange kila baada ya miez kadhaa, we uckate tamaa kakomae upige gpa ya maana watakutafuta tu.
 
nina ndugu yangu kapiga hiyo aliazia laki 8 ila kwa sasa cjui coz mshahara unachange kila baada ya miez kadhaa, we uckate tamaa kakomae upige gpa ya maana watakutafuta tu.

Thanx bro. Hivi kwenye hiyo facaulty pia wanasoma na computer maintanance?
 
Thanx bro. Hivi kwenye hiyo facaulty pia wanasoma na computer maintanance?

Mbona mnachanganya faculty na course(programe) , course+course= faculty e.g faculty of busines sciences ,faculty+faculty= college e.g cbe ,CoET /institute e.g ifm ,irdp,tia , Institute/college+institute/college=university e.g sua
 

hao kaka zako vipanga ni akina nani hapo niwafahamu nijue kama ni vipanga au unatoa sifa za ajabu ajabu hapa
 
ni kozi nzuri, mwenyewe nimeisoma na nikaajiriwa.
Changamoto zake kubwa ni mbili, kwanza inahitaji ujitume sana, usome na kupractc kuliko unavyo fundishwa darasani.
Coz za it hazihitaji cheti kizuri pekee, bali na ujuzi wa kufanya yale yaliyoko kwenye cheti.
Pili changamoto ipo kwenye ajira, takriban asilimia 80 ya wahitimu wa it hawana prctcl knowledg ya kutosha hivyo wanashindwa kazi.
Pia wengi wa wenye kujua prctc vyeti ni haviridhishi.
Tatu bado ukuaji wa ict ktk nchi yetu hauridhishi, bado kasi ni ndogo.
Hayo mambo ndo yanachangia wahitimu wengi wanapata wakati mgumu kwenye kusaka ajira.
 

Muulize kakako alipata GPA ya ngapi? Kwenda chuo na one ya 3 sio kigezo za kufauli.
Yupo mwanafunzi Tanzania one 2006 mbona alidisco UD?

Jambo la msingi ni akienda chuo ajitahidi kusoma na GPA ianze atleast 3.5
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…