Acha kumdanganya mwenziohio course kupata kazi saiv ni issue,sikutanii yaan,watu watu wanaikimbia hio course now,
Thanx bro. Hivi kwenye hiyo facaulty pia wanasoma na computer maintanance?
dogo naongea kitu kwa uhakika,hapo udsm amesoma kaka yangu amegraduate 2010 na wenzake mpaka leo hawana kazi tena vipanga sio kama vilaza wa saiv ,.zaman usdsm comp science ilikua unaingia na 1 tu saiv mpaka 3 za 16 wanaingia,na bado kuna slot,kila chu wanatoa hizo degree,wataajiriwa wangapi??we
Muulize kakako alipata GPA ya ngapi? Kwenda chuo na one ya 3 sio kigezo za kufauli.
Yupo mwanafunzi Tanzania one 2006 mbona alidisco UD?
Jambo la msingi ni akienda chuo ajitahidi kusoma na GPA ianze atleast 3.5
kijana home kwetu hakuna historia ya vilaza,maana saiv yupo nida anakula hela,muulizie shaaban kesowani,akimaliza na (((1 ya 5 benja pcm)),chuo ana 4.1 amegraduate 2011,mchz wake anaitwa alcado alex katoka na 1 ya 4 kibaha na chuo alipiga 4.3 alisota mpaka alikua anafundisha shule feza boys,sema saiv ni tutorial SUA,mmoja anaitwa Ima hadi leo yupi kitaa anabangaiza na ana gpa ya 3.9,..kama una mtu alograduate bsc in comp science 2011 mwambie akuambie kuhusu hivy vichwa.,comp science now ni njaa tu,ucjipe moyo,sema labda ubahatike,hizo degree za comp now ni yebo yebo
Samahi mkuu unafahamu umri wangu? Ndi o adabu mnayofundishwa shuleni siku hizi? Wafahamu kazi yangu?? Kuwa na heshima sio wote wanaopost vitu jukwaa la elimu ni watoto wenzako sawa? Huna adabu
Course yoyote ya IT ni very marketable. Kaz zipo sehemu kibao. Almodt kila office now ina networking inahitaji watu wa maintenance ...office kubwa zina database.
Mimi nasoma ICT. Nimefanya field kwenye office moja, watu wa diploma wanalipwa 800000 kwa mwezi
kwani benja nako kunavichwa kwani?
vichwa vipo tabora tu,,...huyo benja kapata 1 ya 5 2007,wewe umepata ngapi huko tabora?maana ungekua na div ya maana usingekwenda huko maporini wewe
Nimesoma o-level mzumbe ,a-level taboraboys nakote nimepiga one kali
kijana home kwetu hakuna historia ya vilaza,maana saiv yupo nida anakula hela,muulizie shaaban kesowani,akimaliza na 1 ya 5 benja pcm,chuo ana 4.1 amegraduate 2011,mchz wake anaitwa alcado alex katoka na 1 ya 4 kibaha na chuo alipiga 4.3 alisota mpaka alikua anafundisha shule feza boys,sema saiv ni tutorial SUA,mmoja anaitwa Ima hadi leo yupi kitaa anabangaiza na ana gpa ya 3.9,..kama una mtu alograduate bsc in comp science 2011 mwambie akuambie kuhusu hivy vichwa.,comp science now ni njaa tu,ucjipe moyo,sema labda ubahatike,hizo degree za comp now ni yebo yebo
Sikiliza ww, IT iko hivi-unatakiwa upige kazi tena ya ukweli, kama ni network, si A ya darasan, kuwa certified, database kadhalika, kazini hakuna mashindano ya kukariri, unatakiwa ujue vitu.
Na kweny interview wanachukuliwa watu wanaojibu maswali vizuri na lazima uoneshe nidhamu. Kuna watu wana maisha mazuri sana kwa cource ya CS.
Unaweza unaware na GPA kubwa kama hujui programming au database (hasa oracle ) au network UTABAKI UNAZUNGUMZA HISTORIA TU, NILIKUWA NOMA na mambo mengine
tukuamini vipi?toa jina lako halisi tukufanyie research,sio unaogea una 1 kali wakati unasoma kwenye taasisi,wewe uwe na 1 kali kweli then uende huko kwenye taasisi,naomba jina lako halisi na mwaka uliomaliza hapo tabora,
wewe si uliuliza kaka yangu alipata GPA ya ngapi?mbona sasa unabadilisha mada,hao niliokutajia walikua noma kila kona na wanajua kama kazi za IT ni mziki,mimi sitaki kubishana sana,ila nimeshawaona wengi tu,hebu fanya tathmin hio comp inatolea vyuo vingapi now na wanagraduate watu wangapi kila mwaka?na kazi zinatangaziwa ngapi?mpK TEKU kuna comp science si balaa hili
ahaaaa,kumbe unajua hata shule za kawaida kuna vipanga eeh,basi usiulize kama benja kuna vipanga,
shule bora hata top 10 haipo?ubora wa nn hapo?au wa kula ugali wa bure wa serikali,mnajivunia historia?