Bsc in Radiology and Physiotherapy

davyventure the great

Senior Member
Joined
Dec 2, 2023
Posts
150
Reaction score
200
Habari zenu Wana JF,

Mimi nahitaji kufahamu kuhusiana na hizo kozi mbili upande wa kuajiriwa na kujiajiri Kati ya radiology na physiotherapy nikianza na radiology naona kwa Tanzania teknolojia Bado ni ndogo ila sifaham sana kwa upande wa mahospitali ambayo Yako Tanzania au nje ya nchi je kunahuhitaji wa Wana radiolojia na hao hao watu wa therapy.

Anayefahamu kuhusu hizo kozi karibu[emoji120][emoji120]
 
Utaishia kuwa mwalimu wa Jim. Fanya mpango wa kukata kidali mapema
 
Ukitaka kozi nzuri kujiajiri kw afya soma pharmacy japo na zngne zipo lkn pharmacy ni Bora zaid
Mafamacia weng naona wapo kwenye maduka ya watu wanalipwa 150k per month maake wapo weng kitaaa kuzidi uhitaji wao wenda uwe na mtaji mkubwa ufungue duka lako na uwe na connection na madawa ya serikalini ndo utatoboa 🤝
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…