Kaka we usiangalie idadi ya vyuo angalia wafamasia wangapi wamesajiliwa na Wana leseni so mtu tu kamaliza degree Hana leseni afu aseme ye ni mfamasia hapana,na hivyo vyuo uliza wanaanza wangapi na wanamaliza wangapi ,watu wanaweza Anza 100 wanamaliza 40 ,na wengine wanamaliza lkn hawana leseni so Aya akiwa kitaa hawezi tambuliwa kama mfamasia Kwa nchi hii kaka bila leseni utakuwa huna mwelekeo ,any way mi mwenyewe so mjuzi sana labda tuulize Kwa mfamasia ambaye ana degree na leseni atupe Hali halisi