Bsc in Radiology and Physiotherapy

Bsc in Radiology and Physiotherapy

Mafamacia weng naona wapo kwenye maduka ya watu wanalipwa 150k per month maake wapo weng kitaaa kuzidi uhitaji wao wenda uwe na mtaji mkubwa ufungue duka lako na uwe na connection na madawa ya serikalini ndo utatoboa 🤝
Hao wamesoma kozi za muda muda mfupi ugawaji dawa.Unajua mfamasia ngazi yake ya elimu na majukumu yake?
 
Hivi we unawajua wafamasia au ,mfamasia ni yule aliyesoma degree Mzee kama huna degree usijiite mfamasia,mfamasia ni yule aliyesoma degree miaka mitano na sidhani kuna mfamasia anayeuza duka aje alipwe 150k kw kuuza dawa, hayupo .
Bira umemwambia ukweli
 
Kabisa Dr wa mionzi lazima awe na degree ya kwanza ya udaktari MD miaka 5 ndo akasome tena mionzi nje ya hapo ni radiographer hawaitwi daktari
 
Back
Top Bottom