tss
Member
- Aug 31, 2023
- 73
- 41
Hivi we unawajua wafamasia au ,mfamasia ni yule aliyesoma degree Mzee kama huna degree usijiite mfamasia,mfamasia ni yule aliyesoma degree miaka mitano na sidhani kuna mfamasia anayeuza duka aje alipwe 150k kw kuuza dawa, hayupo .Mafamacia weng naona wapo kwenye maduka ya watu wanalipwa 150k per month maake wapo weng kitaaa kuzidi uhitaji wao wenda uwe na mtaji mkubwa ufungue duka lako na uwe na connection na madawa ya serikalini ndo utatoboa [emoji1666]