davyventure the great
Senior Member
- Dec 2, 2023
- 150
- 200
- Thread starter
-
- #41
Me sibishi mkuu ila maphermacia Bado n wengi Richa ya hvyo anyway uwe na mtaji wakutosha ufungue duka lako la dawa lasivyo ndo utatumika kama ngazi kwa wengne 2Kaka we usiangalie idadi ya vyuo angalia wafamasia wangapi wamesajiliwa na Wana leseni so mtu tu kamaliza degree Hana leseni afu aseme ye ni mfamasia hapana,na hivyo vyuo uliza wanaanza wangapi na wanamaliza wangapi ,watu wanaweza Anza 100 wanamaliza 40 ,na wengine wanamaliza lkn hawana leseni so Aya akiwa kitaa hawezi tambuliwa kama mfamasia Kwa nchi hii kaka bila leseni utakuwa huna mwelekeo ,any way mi mwenyewe so mjuzi sana labda tuulize Kwa mfamasia ambaye ana degree na leseni atupe Hali halisi
Unakuwaje 'Dr' wa Radiolojia kama hujapitia MD?!Soma radiology ,soma radiology
Yaani unakuwa Dr wa mionzi na Tanzania ni wachache sana.
Uhakika wa ajira ni 70% for government..
We unataka wabebe unawaangalia ashKaka we ushamwona mfamasia yupi kabeba dawa kutoka hospital kupeleka pharmacy,Kila sehemu kuna upigaji kaka hata uwe daktari,nesi upigaji ni tabia ya mtu so mfamasia kaka
Kaka we unadhani ni mtaji kuanzia shi ngapi ndo unaweza Anza ili uweze kufungua duka la dawaMe sibishi mkuu ila maphermacia Bado n wengi Richa ya hvyo anyway uwe na mtaji wakutosha ufungue duka lako la dawa lasivyo ndo utatumika kama ngazi kwa wengne 2
Uhakika kaka upo sahihi kabsaUnakuwaje 'Dr' wa Radiolojia kama hujapitia MD?!
Hapo atakuwa either Sonographer au Radiographer and not Radiologist.
Unakuwaje 'Dr' wa Radiolojia kama hujapitia MD?!
Hapo atakuwa either Sonographer au Radiographer and not Radiologist.n
Hiyo n carrier ambayo imejitegemea mtu anayesoma radiology akimaliza anakua Dr wa radiologia wakuuuUnakuwaje 'Dr' wa Radiolojia kama hujapitia MD?!
Hapo atakuwa either Sonographer au Radiographer and not Radiologist.
MhhHiyo n carrier ambayo imejitegemea mtu anayesoma radiology akimaliza anakua Dr wa radiologia wakuuu
Nipe hint zake mkuuNjoo usome occupational therapy
Njoo uwafundishe wagonjwa kupiga mswaki, kuoga, kuchana nywele wenye disability na kuwashauri wenye matatizo ya akili.Nipe hint zake mkuu
Hiyo kozi ya wazeee kwanza hao occupational n kma hao wenzao mafamacia 2 hakuna kazi hapoNjoo uwafundishe wagonjwa kupiga mswaki, kuoga, kuchana nywele na kuwashauri wenye matatizo ya akili.
Wenda uanze na mil 8 hvKaka we unadhani ni mtaji kuanzia shi ngapi ndo unaweza Anza ili uweze kufungua duka la dawa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Hiyo kozi ya wazeee kwanza hao occupational n kma hao wenzao mafamacia 2 hakuna kazi hapo
Kama unawaza kujiajiri soma pharmacy mkuu maswala ya mtaji achana nayo piga shule five years Mzee ndo utaelewa vzr kuhusu ,ukitaka kujua utamu wa ngoma ingia kati uchezeNipe hint zake mkuu
Ko Kila mwenye duka alianza na milion 8 kjna [emoji16][emoji16][emoji16]Wenda uanze na mil 8 hv
We c umeulizia mtaji au ata lak 5 unaweza Anza na cold cyrup zenyewe na Panadol π π πKo Kila mwenye duka alianza na milion 8 kjna
Umesoma mtaala gani ambao mtu akimaliza anakuwa the so called Dr wa Radiolojia?!Hiyo n carrier ambayo imejitegemea mtu anayesoma radiology akimaliza anakua Dr wa radiologia wakuuu
Mbn vyeti vyao vinakua vimeandikwa MDUmesoma mtaala gani ambao mtu akimaliza anakuwa the so called Dr wa Radiolojia?!
Kwa Tanzania, huwezi kuwa Radiologist bila ya kwanza kuwa MD.
Hujui unachokizungumzia, na hutaki kuelewa unavyoeleweshwa. Nikusamehe bure tu.Mbn vyeti vyao vinakua vimeandikwa MD