BSS 2026 grand finale wabongo wengi wame underperform round 1 ni vile tu mcheza kwao hutuzwa....

KUKULU- KAKALA

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2019
Posts
312
Reaction score
1,299
Sherida ... Zacksoul... Wame UNDERPERFORM ila ni vile wabongo tunabebana.... The only good performer ni Samalerah this Round 1 na Comedian wa Mbeya kidogo na so fire....

Ila S2Kzy eti kingereza Chake Cha you are good perfom nyie....
 
Wametupa sababu kwanini hawakuwa wakiitwa kwenye events. Wana poor discipline na usera wa kimaskini. Hawajajifunza kutokana na makosa.

Mpaka sasa hakuna ile sense kwamba kuna kitu tulikuwa tunakikosa kutoka kwa wengi wao. They proved that their time is over kwenye events kama hizo. Walikuwa na muda wa kujipanga ila wengi wao walichukulia poa, mtu ni kama katoka zake kuuza duka kaja kuimba.

Next time wafanye mazoezi na ukaguzi ufanyike wamejiandaaje. Asiyejiandaa atoke. Lionel Richie ana miaka 77 na wiki hii alikuwa kwenye tour, akapata kizunguzungu akawahishwa hospitali ila amerejea kazini. Hawa wana 50+ wanapanda jukwaani wengine wamelewa. Upuuzi mtupu.
 
Unaongelea nini wakati Uzi unahusu Bongo star search chief!? Wale wazee wa jana hawana Cha kupoteza Tena kwanini utake waimbe kama ndio wanataka kutoka? Hatuwadai kitu wale mafaza, kwenye bongofleva walishafanya yote.
 
Niliunganisha mada juu kwa juu bila angalizo. Maana hata wakongwe wamezingua.
Ila kusema pioneers wa Bongo Fleva hawataki kuimba si sahihi. Kwanini walikuwa wanalilia nafasi sasa kama hawana cha kupoteza.

BSS huwa siifuatilii siku hizi.
 
So fire au wadarama mmoja wao asiposhinda ntaamini wanaplant mtu wao. Acha kwanza niangalie mpira
 
Back
Top Bottom