Bububu Sec. Shule makini Zanzibar

Bububu Sec. Shule makini Zanzibar

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Wadau wenye kutaka kujifunza maadili na elimu makini karibuni Bububu Secondary School.
 
Attachments

  • Screenshot_2023-01-29-13-40-21-91_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2023-01-29-13-40-21-91_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    220.1 KB · Views: 9
Kwa wale jamaa wanaopenda vichwa bapa kama sinia

Mtoto akizaliwa wanambinya binya fuvu....kumbe hawajui kuwa na akili ndio wanaibinya binya, mwishowe wakiwa wakubwa shuleni wanasongesha division zero wakijitahidi four
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwa wale jamaa wanaopenda vichwa bapa kama sinia

Mtoto akizaliwa wanambinya binya fuvu....kumbe hawajui kuwa na akili ndio wanaibinya binya, mwishowe wakiwa wakubwa shuleni wanasongesha division zero wakijitahidi four
Chogo[emoji16][emoji16]
 
Kwa wale jamaa wanaopenda vichwa bapa kama sinia

Mtoto akizaliwa wanambinya binya fuvu....kumbe hawajui kuwa na akili ndio wanaibinya binya, mwishowe wakiwa wakubwa shuleni wanasongesha division zero wakijitahidi four
wamekukosea nini
 
Kwani huko bara hakuna shule zenye zero za kutosha? Kwani Zanzibar hakuna shule ambazo hazina zero?

Angalia Taifa secondary school ya Dar halafu rudi na uangalie Maahad Istiqama ya Zanzibar

Mna chuki mno wallah
 
Tunapomshambulia Papa Francis kwa kauli zake, tuwapigie pia saluti Wakatoliki kwa huduma zao za elimu na afya

1675050383003.png
 
Back
Top Bottom