Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 26, 2025 #1 Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
Hii breakfast ya Indonesia( wenyewe wanaiita Bubur Ayam) inaonekana ni bora sana. Wapi Dar es Salaam kuna mgahawa wa Ki-Indonesia nikaijaribu?
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 26, 2025 Thread starter #2 Inapikwa kwa uji wa mchele, kuku waliochanwa vipande vidogo vidogo, vitungu vya majani na kawaida, maharage ya soya yaliyokaangwa na mboga za majani.
Inapikwa kwa uji wa mchele, kuku waliochanwa vipande vidogo vidogo, vitungu vya majani na kawaida, maharage ya soya yaliyokaangwa na mboga za majani.
Tajiri Sinabay JF-Expert Member Joined Dec 25, 2024 Posts 1,333 Reaction score 3,619 Jan 26, 2025 #3 Haya mapocho pocho yote ndio yanaitwa jina hilo hilo moja tu la bubur ayam?
T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,302 Reaction score 4,603 Jan 26, 2025 #4 Acha kujikweza, English breakfast wewe mzigua inakuhusu nini? Unajua supu na chapati mbili wewe!
Khanji kapoor JF-Expert Member Joined Oct 19, 2024 Posts 1,198 Reaction score 2,695 Jan 26, 2025 #5 Ndio maana wapopo wanakubali kufia baharini wakiitafuta ulaya sio kwa utam huo🤣
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 26, 2025 Thread starter #6 Truth Matters said: Acha kujikweza, English breakfast wewe mzigua inakuhusu nini? Unajua supu na chapati mbili wewe! Click to expand... Mkuu supu na chapati inatakiwa iwe lunch au dinner, sio breakfast.
Truth Matters said: Acha kujikweza, English breakfast wewe mzigua inakuhusu nini? Unajua supu na chapati mbili wewe! Click to expand... Mkuu supu na chapati inatakiwa iwe lunch au dinner, sio breakfast.