blackwater
Member
- Mar 4, 2024
- 47
- 42
Hakuna uhuru usiokuwa na mipaka
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu kubwa ya Putin kufanya anachofanya ni Ukraine kutaka kujiunga NATO. Kama ujuavyo nchi za NATO ni adui wa Russia kuanzia nyanja ya kiuchumi mpaka kijeshi. Na policy yao hao jamaa ni kuweka kambi zao za kijeshi kila kona ya dunia hasa kwa nchi wanazokuwa nazo marafiki au walioko kwenye umoja huo.Nimekuwa nawashangaa sana mafuasi wa Putin kulaumu Uingereza na Marekani kuisaidia Ukraine kiulinzi ilihali ilikuwa ni wajibu wa nchi zote tatu pamoja na Urusi kulinda Ukraine chini ya Makubaliano hayo. Kwa vile Putin aliamua kwa makusudi kuvunja makubaliano hayo haina maana kuwa Uingereza na USA nazo zitayavunja.
Putin ni kichaa wa ajabu alieyekuja kuvuruga amani ya ya dunia kwa nia ya kurudisha ule mfarakano wa zamani wa cold war ambao haukuwa mzuri kwa maisha ya binadamu wa kawaida. Sasa sijui yeye anategema kupata nini kutokana na mfarakano huo.
Kuvamia nchi jirani siyo option. NATO ilikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuitawanya Urusi katika kipindi cha kuanzia mwaka `1993 hadi 2004 kwani ilikuwa na control kubwa sana juu yake lakini haikufanya hivyo, badala yake ikajikita katika kuisaidia Urusi ili isimame imare tena, halafu baada ya hapo eti ndipo uadui uanza kama Putbi hakuwa na usongo wa ndani siku hizo zote?Sababu kubwa ya Putin kufanya anachofanya ni Ukraine kutaka kujiunga NATO. Kama ujuavyo nchi za NATO ni adui wa Russia kuanzia nyanja ya kiuchumi mpaka kijeshi. Na policy yao hao jamaa ni kuweka kambi zao za kijeshi kila kona ya dunia hasa kwa nchi wanazokuwa nazo marafiki au walioko kwenye umoja huo.
Lengo likiwa ni kuendeleza ubabe na kuchuma rasilimali za nchi husika. Yani US na allies wake wanaamini kuweka bases kila pembe ya dunia hata ikitokea all out war wanaweza kumpiga mtu yeyote mahali popote kutokea mahali popote duniani.
Angalia issue ya China na Taiwan. US ndio anasababisha chokochoko.
Sasa kumuingiza Ukraine NATO maana yake US anakuwa na access rahisi na anaweza kuweka kambi za kijeshi karibu kabisa na Urusi ambae ni hasimu wake. Hapo ni sawa na kumshika mrusi kalio. Hakuna nchi inayojitambua inaweza kukubali huu ushenzi, ndio maana hata China huu ujinga wa Taiwan hataki kuusikia.
So kwa maslahi mapana ya nchi yake Putin hakuwa na option zaidi ya kumstopisha Ukraine.
Hujui kuwa Gorbachev alikuwa ni puppet wa WEst na sera zake za glasnost na perestroika ndio zilisababisha kuvunjika wa USSR jambo ambalo US na wenzie ndio walikuwa wanalitaka. Lakini kipindi hicho unachosema wewe kuwa NATO ingeweza kuisambaratisha Russia ndio kipindi ambacho kilikuwa na maraisi miamba sasa ambao waliinua nchi yao kichumi na kuweza ku compete na super powers nyingine (Yeltsin, Medvedev na Putin)Kuvamia nchi jirani siyo option. NATO ilikuwa na uwezo mkubwa sana wa kuitawanya Urusi katika kipindi cha kuanzia mwaka `1993 hadi 2004 kwani ilikuwa na control kubwa sana juu yake lakini haikufanya hivyo, badala yake ikajikita katika kuisaidia Urusi ili isimame imare tena, halafu baada ya hapo eti ndipo uadui uanza kama Putbi hakuwa na usongo wa ndani siku hizo zote?
Kitendo cha kuivamia Ukraine hakijasaidia lolote kwenye maslahi ya nchi yake bali ndipo ameikaribisha NATO zaidi mlangoni mwake huku vijana ambao niyo nguvu ya kesho ya taifa wakiwa wanakimbia nchi. Sasa hivi Putin anajivunia wale wazee wa zamani waliokulia ndani ya Soviet Union na watu wa vijijini wanasikiliza habari kwenye TV ya Taifa tu. siyo generation mpya inayoishi kwenye majiji kama Moscow na St Pettersberg.
Yaani wewe ni mrusi zaid ya Gorbachev kweli kiashi cha kumwita puppet wa west? Usilete utani hapaHujui kuwa Gorbachev alikuwa ni puppet wa WEst na sera zake za glasnost na perestroika ndio zilisababisha kuvunjika wa USSR jambo ambalo US na wenzie ndio walikuwa wanalitaka. Lakini kipindi hicho unachosema wewe kuwa NATO ingeweza kuisambaratisha Russia ndio kipindi ambacho kilikuwa na maraisi miamba sasa ambao waliinua nchi yao kichumi na kuweza ku compete na super powers nyingine (Yeltsin, Medvedev na Putin)
Ukweli ni kwamba NATO hawezi kuingia tena kijanja Ukraine so kama ni strategy basi Russia ame win. Kuhusu nguvu kazi kuwa vijana wanakimbia nchi hizo ni propaganda za West tu wala hakuna uhalisia.
Gorbachev inajulikana wazi alikuwa kibaraka wa West. HE sold USSR to the West.Yaani wewe ni mrusi zaid ya Gorbachev kweli?
Je Booris Yelstin?
Inajulikani wazi kwa nani; na aliiuza USSR kwa fedha kiasi gani hadi anafariki akiwa maskini huko kijijini kwao?Gorbachev inajulikana wazi alikuwa kibaraka wa West. HE sold USSR to the West.
Hakuna nchi nyingine zilizojiunga na NATO zinazopakana na Russia? Kwa namna gani Russia haikufanya jitihada ya kuzithibiti kabla ila inataka kuithibiti Ukraine ambae hajonesha ata dalili ya kuomba uanachama?Gorbachev inajulikana wazi alikuwa kibaraka wa West. HE sold USSR to the West.
Mbona una akili nyingi? Umeuliza swali zuri mnoDunia ilikuwa na amani kabla ya Putin ?
Nakuelimisha kuwa zipo nchi zinazopakana na Urusi zilizopo NATO ambazo ni Latvia, Estonia na Norway lakini ni nchi ndogo kiliko Ukraiene na hata mipaka yao na Urusi ni mifupi ukilinganisha na ukubwa wa nchi ya Ukraine na urefu wa mpaka wa Ukraine na Urusi.Hakuna nchi nyingine zilizojiunga na NATO zinazopakana na Russia? Kwa namna gani Russia haikufanya jitihada ya kuzithibiti kabla ila inataka kuithibiti Ukraine ambae hajonesha ata dalili ya kuomba uanachama?
Wewe kwako unaona kuna logic?
Haya hapa ni maneno ya Putin mwenyewe akisema sababu za kuivamia UkraineSababu kubwa ya Putin kufanya anachofanya ni Ukraine kutaka kujiunga NATO. Kama ujuavyo nchi za NATO ni adui wa Russia kuanzia nyanja ya kiuchumi mpaka kijeshi. Na policy yao hao jamaa ni kuweka kambi zao za kijeshi kila kona ya dunia hasa kwa nchi wanazokuwa nazo marafiki au walioko kwenye umoja huo.
Lengo likiwa ni kuendeleza ubabe na kuchuma rasilimali za nchi husika. Yani US na allies wake wanaamini kuweka bases kila pembe ya dunia hata ikitokea all out war wanaweza kumpiga mtu yeyote mahali popote kutokea mahali popote duniani.
Angalia issue ya China na Taiwan. US ndio anasababisha chokochoko.
Sasa kumuingiza Ukraine NATO maana yake US anakuwa na access rahisi na anaweza kuweka kambi za kijeshi karibu kabisa na Urusi ambae ni hasimu wake. Hapo ni sawa na kumshika mrusi kalio. Hakuna nchi inayojitambua inaweza kukubali huu ushenzi, ndio maana hata China huu ujinga wa Taiwan hataki kuusikia.
So kwa maslahi mapana ya nchi yake Putin hakuwa na option zaidi ya kumstopisha Ukraine.
Finland ina mpaka wa km 1,400 na Russia.Nakuelimisha kuwa zipo nchi zinazopakana na Urusi zilizopo NATO ambazo ni Latvia, Estonia na Norway lakini ni nchi ndogo kiliko Ukraiene na hata mipaka yao na Urusi ni mifupi ukilinganisha na ukubwa wa nchi ya Ukraine na urefu wa mpaka wa Ukraine na Urusi.
Pia Black Sea ina play role hapo maana kama Ukraine akijiunga NATO basi wanakuwa na access yakuweka manuwari zao na nyambizi black sea ambapo ni mlangoni kwa Urusi.
So Urusi ana justification.
Dunia ilikuwa na amani kabla ya Putin ?
Pigia mstari "kurudisha ule mfarakano wa zamani wa cold war"Putin ni kichaa wa ajabu alieyekuja kuvuruga amani ya ya dunia kwa nia ya kurudisha ule mfarakano wa zamani wa cold war ambao haukuwa mzuri kwa maisha ya binadamu wa kawaida. Sasa sijui yeye anategema kupata nini kutokana na mfarakano huo.
Sahihi lakini bado mpaka wa Ukraine ndio mkubwa zaidi. Na pia Finland sio threat kiasi hicho kwa Russia kama Ukraine. Strategically NATO kuwa Ukraine ndio ina mantiki kuliko kwenye hizo nchi nyingine.Finland ina mpaka wa km 1,400 na Russia.
Baltic Sea yote sasa hivi imezungukwa na nchi za NATO.
Uturuki ambayo ni mwanachama wa NATO inapakana na Black Sea pia.
Romania na Bulgaria ziko Black Sea na pia ni wanachama wa NATO.Sahihi lakini bado mpaka wa Ukraine ndio mkubwa zaidi. Na pia Finland sio threat kiasi hicho kwa Russia kama Ukraine. Strategically NATO kuwa Ukraine ndio ina mantiki kuliko kwenye hizo nchi nyingine.
Kuhusu Turkey wote tunajua kuwa Turkey ni nchi ambayo misimamo yake sio mikali dhidi ya Urusi. Na ndio maana anatumika kusuluhisha huo mgogoro.
Nikufahamishe kuwa Turkey ndio nchi pekee katika nchi za NATO ambazo hazipo kwenye blacklist (unfriendly list) ya Russia.
Mkuu soma post namba 31.Sahihi lakini bado mpaka wa Ukraine ndio mkubwa zaidi. Na pia Finland sio threat kiasi hicho kwa Russia kama Ukraine. Strategically NATO kuwa Ukraine ndio ina mantiki kuliko kwenye hizo nchi nyingine.
Kuhusu Turkey wote tunajua kuwa Turkey ni nchi ambayo misimamo yake sio mikali dhidi ya Urusi. Na ndio maana anatumika kusuluhisha huo mgogoro.
Nikufahamishe kuwa Turkey ndio nchi pekee katika nchi za NATO ambazo hazipo kwenye blacklist (unfriendly list) ya Russia.
hakuna mgeni na siasa za marekani hapa mkuu, wewe ndio victim wa propaganda za magharibi.....Na wewe ni mmoja wa victims walioathirika na hizo propaganda za Putin za kudai kuwa Marekani inataka kuiangusha Urusi. Iwapo Marekani ingekuwa inataka kufanya hivyo, kwanza isingesimamia hiyo Budapest memorandum kuhakikisha silaha zote za Nyuklia zinakwenda Urusi na kuiacha Ukraine haine Kitu. Pili, Marekani ilikuwa na takriban miaka kumi za kuingusha kabisa Urusi yote baada ya kuvunjika kwa USSR. Badala yake katika kipindi cha kuanzia 1994 hadi 2004 Marekani iliisaidia sana Urusi kuimarisha uchumi wake bila vikwazo vyovyote; Mpaka sasa hivi Urusi inadaiwa fedha nyingi sana na Marekani ilizokopeshwa kwa ajili ya kujenga uchumi wake. Elewa hapa kuwa inadaiwa pesa ilizokopa (kama Tanzania inavyokopa), siyo pesa za kuuza hati fungante kama ambazo Marekani inadaiwa.
Tatizo la Putin ni nia ya kung'ang'ania madaraka tu, kwani kosa kubwa la Ukraine na Georgia limekuwa lile la kufanya uchaguzi na kubadilisha viongozi. Huo unakuwa ni mfano mbaya sana mlangoni mwake ambaye haamini utamaduni wa kubadili viongozi; hawezi kuishambulia Belarus mpaka pale watakapobadilisha rais
1. kama huelewi kuhusu hili au hujui hili, basi hustahili kujibiwa!1. Utajiri wa Afrika unaporwaje wakati tunaona kila nchi ya Afrika ikiwa inatawaliwa na waafrika wenyewe. Unaweza ukatupa uthibitisho wowote wa madai yako..?
2. Mimi nafikiri Ukraine ni nchi huru tu kama vile Tanzania, Kenya, Zambia nk, sasa kuna nchi duniani yenye haki ya kuichagulia nchi yoyote maadui au marafiki.
3. Unafahamu chochote kuhusu Budapest Agreement iliyohusisha mataifa ya Ukraine, Marekani, Uingereza na Russia.
Iweke hapa hiyo katiba ya Ukraine inayosema Ukraine itajiunga NATOUkraine haiwezi kujiunga Nato, ndio mana hata mwanzoni mwa huu mgogoro zele alitaka kukubali hilo liondolewe kwenye katiba kama moja ya mashart ya kusitisha mgogoro, ila boris akaenda kumlazimisha aendelee kupigana!..... hili nalo hujui?