Kwa matumizi haya ya mafisiem kweli tuwe na badget imara. Kwa akili zipi na utashi upi na innovation zipi na mauzo yapi kimataifa kama sio uchawa wa kipuuzi.Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.
Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Abdul na Riz 1 wanasemaje?Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.
Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Sisi ni wehuBudget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.
Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yaoBudget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.
Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Singapore 🇸🇬 raia wake wengi ni wabudha waislam ni %22 tu.Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
Mie nilishasema sie hatuna akili....tuendelee kugegedana tuuBudget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion
Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.
Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Kwa nini Singapore ina GDP kubwa kuliko Tanzania ? pale nilipo andika budget toka weka GDP halafu soma kwa sauti nilicho andikaSasa mkuu Tz na Singapore utazilinganishaje?
GDP ya Singapore ni zaidi 510$ bilion wakati Tz hata 80$bilion unataka tulingane bajeti?
Sheikh wetu hapo hakusoma elimu dunia. Matokeo yake ndio hayo.Singapore í ¼í·¸í ¼í·¬ raia wake wengi ni wabudha waislam ni %22 tu.
Dini imekuharibu mkuu, amka.Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
Hivi Top 10 ya nchi wagegedaji duniani tumo kweli au tuko nyuma kila nyanjaMie nilishasema sie hatuna akili....tuendelee kugegedana tuu
Ata huko tunazidiwa ndio happ nashangaaHivi Top 10 ya nchi wagegedaji duniani tumo kweli au tuko nyuma kila nyanja