Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni kubwa mno kuliko Budget ya Tanzania

Mi mi

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2024
Posts
2,748
Reaction score
5,112
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
 
Kwa matumizi haya ya mafisiem kweli tuwe na badget imara. Kwa akili zipi na utashi upi na innovation zipi na mauzo yapi kimataifa kama sio uchawa wa kipuuzi.
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Abdul na Riz 1 wanasemaje?
 
"Tunataka kuona katika Taifa hili, vijana jeuri na wenye kujiamini, si vijana waoga, akina "ndiyo bwana mkubwa", vijana wanaohoji na kupiga vita mifumo ya jamii isiyoshabihiana na matakwa na matarajio ya jamii ya kitanzania. Tunataka vijana waasi dhidi ya mifumo kandamizi, ubwana na ufisadi katika Taifa"

Mwl J.K. Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Sisi ni wehu
 
Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
 
lakini kijinchi chao ni sawa na wilaya moja tu ya Dar alisikika mzalendo mmoja wa kitanganyika akisema
 
Sasa mkuu Tz na Singapore utazilinganishaje?
GDP ya Singapore ni zaidi 510$ bilion wakati Tz hata 80$bilion unataka tulingane bajeti?
 
Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
Singapore 🇸🇬 raia wake wengi ni wabudha waislam ni %22 tu.
 
IQ yao kubwa sisi zaidi ya asilimia 50 ya watoto wenye umri chini ya miaka mitatu wamedumaa, what do you expect?
 
Budget ya Singapore ya mwaka 2025/2026 ni $143.1 billion wakati ya Tanzania ya mwaka 2024/2025 ni $19 billion

Sisi ni wehu ama nini, Singapore ni ndogo sana tena sana jaribu kufikiri kwamba Dar es Salaam ni kubwa kuliko nchi nzima ya Singapore.

Kama sio wehu sisi wakina nani sasa ?
Mie nilishasema sie hatuna akili....tuendelee kugegedana tuu
 
Sasa mkuu Tz na Singapore utazilinganishaje?
GDP ya Singapore ni zaidi 510$ bilion wakati Tz hata 80$bilion unataka tulingane bajeti?
Kwa nini Singapore ina GDP kubwa kuliko Tanzania ? pale nilipo andika budget toka weka GDP halafu soma kwa sauti nilicho andika
 
Sababu ni kua Singapore ina waislamu wengi sana,kuloko wakristo------haushangai kwa nini?bajeti ya zanzibar ni mara tano ya bajeti ya mwanza ilhali Mwanza in watu mara 3 ya zanzibar?......Linapokuja suala la maendelo sehemu/nchi zenye waislamu wengi wanakua mbele ya muda,na hii ni kutokana na misingi imara ya dini yao
Dini imekuharibu mkuu, amka.
 
Back
Top Bottom