Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli. Ila hizo ulizoandika ni porojo zilizopigwa miaka nenda rudi. Wahakikishie wakulima soko zuri na la uhakika hizo porojo wataziweka sawa wenyewe.Hata Ramani ya Nyumba , huandikwa kwenye makaratasi Kwa njia ya mchoro
You have answered the easy questions, avoided the nitty gritty. Youth wa maghorofani kamaliza BCom au LLB Mlimani kajitayarisha kuwa Lord, na nyumba yake na gari yake. Waziri Bashe anampa eka 3 za kulima mawese Kigoma au katanga Chamwino, je ataweza? Akiweza kuyazvuna, somo atapateje? Mheshimiwa Waziri tumsaidieni kumpa njia ya jinsi ya kuwaunganisha hawa vijana. Benki bado hazitampa hela, na mvua zikinyesha shurti aende shambani kuongoza maji yao give kwenye majaruba yake. Ataweza?Naweka akiba ya maneno. Ngoja tuone.
Naomba nichangie nukta kadhaa.
Umeuliza kama vijana watapitiwa mafunzo. Ni kweli watapatiwa mafunzo nadhani kama sijakosea ni ya kipindi cha miezi 6.
Jambo lingine umeuliza hiki kinachofanyika kama kinabeba lengo la kuleta mapinduzi ya kilimo au kusaidia vijana kwenye nyanja ya ajira. Ukiuangalia mradi ipo wazi umeundwa kwa lengo la kuchochea na kuleta hamasa kwa vijana kushiriki kwenye kilimo, na mpango ni endelevu.
Suala la mageuzi katika kilimo ni pana na mtambuka kama ulivyoeleza wewe mwenyewe. Wakati mwingine tuwe positive na kukosoa matokeo ya mradi. Na mradi wowote unakufaulu na kushindwa. Kwa kuwa ni mradi mpya utaenda ukiendelea kufanyiwa maboresho.
Kwani Kuna shida gani? Wewe umejenga kiwanda chako?Huu mradi hauna malengo.
Kwamba wanaenda lima zabibu, serikali inajenga kiwanda na kukikodisha kwa watu wakiendeshe
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hivi unaelewa ulichoandika? Kwanza masharti ya waliodahiliwa ilikuwa lazima uwe umetokea kwenye background ya Kilimo.You have answered the easy questions, avoided the nitty gritty. Youth wa maghorofani kamaliza BCom au LLB Mlimani kajitayarisha kuwa Lord, na nyumba yake na gari yake. Waziri Bashe anampa eka 3 za kulima mawese Kigoma au katanga Chamwino, je ataweza? Akiweza kuyazvuna, somo atapateje? Mheshimiwa Waziri tumsaidieni kumpa njia ya jinsi ya kuwaunganisha hawa vijana. Benki bado hazitampa hela, na mvua zikinyesha shurti aende shambani kuongoza maji yao give kwenye majaruba yake. Ataweza?
Kwamba wao hawajayaona hayo unayoeleza na kuya-address. Umesoma lakini maelezo ya mradi ukaona practicability ya CCPM methodology ya mradi? Ukisoma utapata majibu ya uliyoyauliza.You have answered the easy questions, avoided the nitty gritty. Youth wa maghorofani kamaliza BCom au LLB Mlimani kajitayarisha kuwa Lord, na nyumba yake na gari yake. Waziri Bashe anampa eka 3 za kulima mawese Kigoma au katanga Chamwino, je ataweza? Akiweza kuyazvuna, somo atapateje? Mheshimiwa Waziri tumsaidieni kumpa njia ya jinsi ya kuwaunganisha hawa vijana. Benki bado hazitampa hela, na mvua zikinyesha shurti aende shambani kuongoza maji yao give kwenye majaruba yake. Ataweza?
Watakuwa wanawapa.training si mumeandika hapo Juu kwamba hakuna training ndio watapewa Kwa mda huo.Namimi ninaandika kidogo
Eti Bashe anasema vijana watalishwa na kulala bure miezi minne? Hapo watakua wanafanyaje?
Wametumia vigezo gani kuwapata? Ila kuna jambo mleta mada amedokeza kwamba nimakada
Kwanini wasichukue maafisa ugani wakawapa huo mradi ili kuleta matokeo bora?
Hiyo miezi minne ya kula na kulala bure siingekua muda wa kuotesha na kuvuna mazao ya chakula na mbogamboga?
Bashe bado ninamashaka na huu mradi wake anaenda kupoteza hela nyingi sana na matokeo au mrejesho wake utakua na makandokando
Ninarudia Bashe tumia wasomi kwenye kilimo acha siasa utaumbuka na utaiharibu CV yako
Loosers hao chana nao walishatabii Samia hafiki popote saizi wanatoka maudenda Kwa aibu.Kwamba wao hawajayaona hayo unayoeleza na kuya-address. Umesoma lakini maelezo ya mradi ukaona practicability ya CCPM methodology ya mradi? Ukisoma utapata majibu ya uliyoyauliza.
Oyaa **** watu wamegawana hayo maeneoz na bahati mbaya zaidi, Pesa za mtanzania Masikin, ndio zinaenda kutumika .Namimi ninaandika kidogo
Eti Bashe anasema vijana watalishwa na kulala bure miezi minne? Hapo watakua wanafanyaje?
Wametumia vigezo gani kuwapata? Ila kuna jambo mleta mada amedokeza kwamba nimakada
Kwanini wasichukue maafisa ugani wakawapa huo mradi ili kuleta matokeo bora?
Hiyo miezi minne ya kula na kulala bure siingekua muda wa kuotesha na kuvuna mazao ya chakula na mbogamboga?
Bashe bado ninamashaka na huu mradi wake anaenda kupoteza hela nyingi sana na matokeo au mrejesho wake utakua na makandokando
Eti ametoa Liz ya miaka 66 sasa wasipofanya vizuri hiyo ardhi itakuaje kama serikali ikitaka kuwapa wawekezaji wengine? HAPA TUMEPIGWA ZA CHEMBE. Hapo wanasiasa inawezekana wamejitwalia ardhi kwa mgongo wa hiyo BBT
Ninarudia Bashe tumia wasomi kwenye kilimo acha siasa utaumbuka na utaiharibu CV yako
Maskini tozo zetuOyaa **** watu wamegawana hayo maeneoz na bahati mbaya zaidi, Pesa za mtanzania Masikin, ndio zinaenda kutumika .
Wizi tupuuu
Mimi ni serikali?Kwani Kuna shida gani? Wewe umejenga kiwanda chako?
Ni kweli,mbona hata ukisikiliza kwa umakini hotuba yake bila kuwa na chuki nae unaona kabisa BASHE kichwani ni mzima,na anaongea vitu ambavyo hata akili ya kawaida tu inakubali,kwa kuwa anatoa mifano mbali mbali na njia watakayo pita mpaka kufika kwenye BBT,Bashe anafanya kazi ya maana. Kazi inayoonekana.
Serikali ikijenga unalumu,Wahindi walijenga unalumu Sasa wewe una matatizo gani?
Mashamba ya utafiti wa Mbegu..Ni kweli,mbona hata ukisikiliza kwa umakini hotuba yake bila kuwa na chuki nae unaona kabisa BASHE kichwani ni mzima,na anaongea vitu ambavyo hata akili ya kawaida tu inakubali,kwa kuwa anatoa mifano mbali mbali na njia watakayo pita mpaka kufika kwenye BBT,
Wacha tumuone mbiooo zake.
Kwa anavyojua kuhadaa, hawez kukosea sababu