Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

Wajinga na wapiga makofi wa awamu hii ni wapuuzi kama wapuuzi wengine, huwezi kushindwa kufikisha mbolea ya ruzuku urukie mapinduzi ya kilimo, mapinduzi ya nyoko
 
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !

Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.

Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi umemchorea picha tu basi unakula Pesa, Ndioooo lazima tuseme ukweli, Samia ni mwepesi kudanganywa !!.

Bashe anafanya mapinduzi ya Kilimo Kwa kukusanya Vijana Et wakalime Dodoma !!.

KILIMO NCHINI KINA MATATIZO MENGI, KINAHITAJI UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SERA NA MIFUMO YETU YA TAFITI INAYOHUSIANA NA KILIMO , NA PIA KINAHITAJI INTEGRATION NA SEKTA NYINGINE .

Labda niongeee kimombo ndo tuelewane !!

In order to bring much needed changes in our Country we must first reexamine our policy toward our deteriorating agricultural knowledge system, in favor of active engagement in remodeling and reshuffling of our Agricultural institutions .
Miaka zaidi ya 60 watu wanalima kienyeji !!!

Lazima Kwanza kufanyike transformation ya Agricultural research system , Kilimo chetu hapa Tanzania ni Private centered , na Ili uweze kuserve aina hii ya Kilimo kwenye soko ni lazima uhakikishe kwanza research system kuhusian na Kilimo ni sustainable, iwe efficient, iwe ambayo ni demand driven, iwe decentralized, na ambayo ni accountable Kwa wadau wa Kilimo hapa Nchini lakini ni ukweli ulio wazi kwamba ni lazima pia iwe integrated with the higher education system and knowledge transfer .... Tuna Chuo kikuu Cha Sokoine, tumekitumiaje??.

Pili, Bashe alitakiwa Kuhakikisha kunakuwepo na Adequate Financial support Kwa Researchers wetu na wakulima Nchini , Sawa Nchi bado inachechemea je Kuna Fungu ambalo angalau linaenda ku finance tafiti mkakati Kwa lengo la kuimarisha Kilimo. ?. Au tunaishia kutoa tu ruzuku ?.

Tatu, Wakulima wetu ni wachini sana , Je Wanafikishiwa Information services kuhusiana na mazao yao ? lazima kuwepo na decentralization ya agricultural information services na Serikali ihakikishe wakulima wameelimishwa na wakaelewa.

The System of agricultural knowledge consists of agricultural research, education, training, and technology transfer. Hivi vitu vinaenda pamoja na nilazima viwe fully integrated kama kweli tunahitaji tuwe na Kilimo ambacho ni responsive, efficient, and cost effective.

Bashe anajinasibu kua Sasa Vijana wanaenda kutumia Nyezo za kisasa, sawa lakini je Kuna utafiti juu ya wanachoenda kufanya?. Wamepewa Elimu? Wamepewa Mafunzo? .

Our national agricultural research system need to:
👉 decentralize, reconstruct, rehabilitate, and consolidate the system to make it
sustainable and efficient
👉remodel the system to make it serve private agriculture based on market principles

👉Embrace socio-economic, ecological, and business standards in planning, setting of priority , monitoring and
evaluating agricultural research

👉 Develop and strengthen linkages
between Agricultural researchers and users, and among research, teaching, and knowledge transfer activities.

👉 facilitate increased investment in
agricultural research and development.

Je Waziri Bashe kaja na BBT Kwa sababu ya kusaidia Vijana wasomi walokoswa ajiri ili wajiajiri kwenye Kilimo yaan wapate chakufanya sio kuzurula mitaani ?. Au Kaja na BBT ili kuleta Mageuzi kwenye Kilimo ndani ya Nchi?.

Kwa kuwatizama wale Vijana ,mbona ni UVCCM ?
Hivi Bashite yuko wapi?
 
Tunafeli ni Kwa sababu ya kufikiria kushindwa.Kijana anayepata ujuzi na anaamua kuachana nao na kufeli anakuwa amejitakia.Kilimo ni fursa kubwa sana ya kuondokana na umasikini.Njooni Njombe muone kilimo kinavyobadili maisha ya watu pamoja na kutokuwa na utaalamu.Sitaki kukosoa mwanzo wa project tukosoe result.
 
Mawaziri wanapishana tu kuja na vimiradi uchwara vya upigaji Pesa !

Mnakumbuka Makamba akaja na ya kukodi Wahindi kufatilia Ukatikaji wa Umeme Mabilioni ya Kitanzania ?.

Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi umemchorea picha tu basi unakula Pesa, Ndioooo lazima tuseme ukweli, Samia ni mwepesi kudanganywa !!.

Bashe anafanya mapinduzi ya Kilimo Kwa kukusanya Vijana Et wakalime Dodoma !!.

KILIMO NCHINI KINA MATATIZO MENGI, KINAHITAJI UWEKEZAJI MKUBWA KWENYE SERA NA MIFUMO YETU YA TAFITI INAYOHUSIANA NA KILIMO , NA PIA KINAHITAJI INTEGRATION NA SEKTA NYINGINE .

Labda niongeee kimombo ndo tuelewane !!

In order to bring much needed changes in our Country we must first reexamine our policy toward our deteriorating agricultural knowledge system, in favor of active engagement in remodeling and reshuffling of our Agricultural institutions .
Miaka zaidi ya 60 watu wanalima kienyeji !!!

Lazima Kwanza kufanyike transformation ya Agricultural research system , Kilimo chetu hapa Tanzania ni Private centered , na Ili uweze kuserve aina hii ya Kilimo kwenye soko ni lazima uhakikishe kwanza research system kuhusian na Kilimo ni sustainable, iwe efficient, iwe ambayo ni demand driven, iwe decentralized, na ambayo ni accountable Kwa wadau wa Kilimo hapa Nchini lakini ni ukweli ulio wazi kwamba ni lazima pia iwe integrated with the higher education system and knowledge transfer .... Tuna Chuo kikuu Cha Sokoine, tumekitumiaje??.

Pili, Bashe alitakiwa Kuhakikisha kunakuwepo na Adequate Financial support Kwa Researchers wetu na wakulima Nchini , Sawa Nchi bado inachechemea je Kuna Fungu ambalo angalau linaenda ku finance tafiti mkakati Kwa lengo la kuimarisha Kilimo. ?. Au tunaishia kutoa tu ruzuku ?.

Tatu, Wakulima wetu ni wachini sana , Je Wanafikishiwa Information services kuhusiana na mazao yao ? lazima kuwepo na decentralization ya agricultural information services na Serikali ihakikishe wakulima wameelimishwa na wakaelewa.

The System of agricultural knowledge consists of agricultural research, education, training, and technology transfer. Hivi vitu vinaenda pamoja na nilazima viwe fully integrated kama kweli tunahitaji tuwe na Kilimo ambacho ni responsive, efficient, and cost effective.

Bashe anajinasibu kua Sasa Vijana wanaenda kutumia Nyezo za kisasa, sawa lakini je Kuna utafiti juu ya wanachoenda kufanya?. Wamepewa Elimu? Wamepewa Mafunzo? .

Our national agricultural research system need to:
👉 decentralize, reconstruct, rehabilitate, and consolidate the system to make it
sustainable and efficient
👉remodel the system to make it serve private agriculture based on market principles

👉Embrace socio-economic, ecological, and business standards in planning, setting of priority , monitoring and
evaluating agricultural research

👉 Develop and strengthen linkages
between Agricultural researchers and users, and among research, teaching, and knowledge transfer activities.

👉 facilitate increased investment in
agricultural research and development.

Je Waziri Bashe kaja na BBT Kwa sababu ya kusaidia Vijana wasomi walokoswa ajiri ili wajiajiri kwenye Kilimo yaan wapate chakufanya sio kuzurula mitaani ?. Au Kaja na BBT ili kuleta Mageuzi kwenye Kilimo ndani ya Nchi?.

Kwa kuwatizama wale Vijana ,mbona ni UVCCM ?
Viongozi wa Tanzania wanapenda matokeo sio process, ulaya wanajenga academy kwa watoto sisi tunatoa 5m kwa kila goli.
Bashe amefeli kabla hajaanza na bahati mbaya viongozi wetu huwa hawajifinzi kutokana na historia kama alivyosema Ali Mfuruki bla bla nyingi tunakata matawi na si kung'oa mizizi au angalau shina
 
Mkuu moja ya Wizara hii ya Kilimo ni pamoja na kumlinda na kumelimisha mkulima; yeye mwenyewe pamoja na mazao yake. Lakini hatuoni hatua zozote za kulinda mazao yake pale yanapo haribiwa na wanyama waliopo chini ya uangalizi serikali (TANAPA); Kwa kipindi cha miaka miwili sasa tembo wameharibu kwa maana wanakula mazao ya wakulima Mkoani Tanga, Wizara inajua lakini inashindwa kuwasaidia wakulima hawa kwa kuongea na Wizara ya Maliasili na Utalii ili kuwafidia wakulima hao, ambao wamepoteza fedha nyingi katika kulima mazao hayo. Nayo Wizara ya Utalii, ikibanwa na wakulima walioathirika, wana wataka wajaze fomu na kuzipeleka wilayani kwa Afisa Wanyamapori wa Wilaya kwa kulipa fidia. Fomu ikifika hapo ndio mawasiliano yamekufa. Aidha wakiona unawafuatilia sana, basi wana kukatisha tamaa kwa kukuambia kwamba wewe mkulima ndio umemfuata tembo kwenye makazi yake.
Kwa kweli majibu yao pamoja na kukatisha tamaa, lakini yanafikirisha sana; hivi vijiji vimesajiliwa na kutambulika na Serikali. Kwenye hivi vijiji kuna huduma zote za kijamii zilizojengwa na Serikali yenyewe. Isitoshe, Serikali imejenga hadi mradi mkubwa wa umwagiliaji. Sasa haya yote ya kumfuata tembo yanatoka wapi?
Jamani waoneeni huruma wakulima hao wamepoteza fedha na nguvu nyingi, fomu wame jaza kama mlivyo waelekeza, walipeni fidia. Mh. Waziri wa Kilimo wajali wakulima hawa pia, ili nao waende sambamba na hiyo BBT.
 
Sasa Ukiwa Waziri ,mwenye akili ya ua Ulaji, Kwa Samia lazima upige , yes unapiga kwakua Samia sio mfatiliaji, ili mradi umemchorea picha tu basi unakula Pesa, Ndioooo lazima tuseme ukweli, Samia ni mwepesi kudanganywa !!.
Nenda na wewe kamchoree upige pesa uache kulalama.
 
Mnachonga
Utadhani nyie kuna kitu mmefanya
Sawa tuseme Bashe kakosea tuonyeshe ulichofanya wewe kwa Taifa hili
Mtaumbuka
 
Tena kuiweka vizuri hii Bashe anasema mjadala juu ya kilimo sasa ni huru maana awamu ya tano huru huo haukuwepo, sasa anapokea maoni [emoji1787]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
BASHE ana Maroboti mengi sana mtandaoni ambayo anayalipa kumtetea
 
Naweka akiba ya maneno. Ngoja tuone.

Naomba nichangie nukta kadhaa.
Umeuliza kama vijana watapitiwa mafunzo. Ni kweli watapatiwa mafunzo nadhani kama sijakosea ni ya kipindi cha miezi 6.

Jambo lingine umeuliza hiki kinachofanyika kama kinabeba lengo la kuleta mapinduzi ya kilimo au kusaidia vijana kwenye nyanja ya ajira. Ukiuangalia mradi ipo wazi umeundwa kwa lengo la kuchochea na kuleta hamasa kwa vijana kushiriki kwenye kilimo, na mpango ni endelevu.

Suala la mageuzi katika kilimo ni pana na mtambuka kama ulivyoeleza wewe mwenyewe. Wakati mwingine tuwe positive na kukosoa matokeo ya mradi. Na mradi wowote unakufaulu na kushindwa. Kwa kuwa ni mradi mpya utaenda ukiendelea kufanyiwa maboresho.
Naomba tujikite kwenye haya Yako ya pili kurika mwisho. Nadhani hija kuu ya Uzi iko hapo?
 
BASHE ana Maroboti mengi sana mtandaoni ambayo anayalipa kumtetea
Kwa nini aweke watu, ili iweje? Wewe zingatia anachosema, kama una sehemu unaweza kuleta value-added, sema tusikie. Mpe hurrah hata kw kuthubutu kufikiri njecya box.
 
Back
Top Bottom