Building Better Tomorrow (BBT): Hongera Bashe, sisi wakulima tunasema piga hela za Rais Samia haswa, zile kwelikweli Kaka!!

Kwanza hujasoma andiko la BBT

Pili vijana wanaanza kupewa mafunzo ya kilimo,tayari mafunzo yanaendelea kwa vituo 15

Mwisho kijana atawezeshwa yafuatayo baada ya mafunzo

1.Shamba(likiwa tayari kwa kilimo cha kisasa na miundombinu)
2.Mtaji wa kulima kwa kuwezeshwa mahitaji yote
3.Soko kwa maana ya kuwepo investors

Ambao watakua soko la kwanza kwa uzalishaji

Lengo kilimo kizalishe walau ajira 3m kupitia kundi la vijana na kusaidia ukuaji wa sekta a kilimo kwa 10% ifikapo 2030


Mwisho kila mtu apambane na hali yake.
 
Yaani ufute Kilimo mashuleni kulee a-lafu watu waje wakielewe... Wakifanye na wakipende ukubwani...??
Tunachekesha sana
 
Nashangaa sana Yani Raisi anamteua mtu sio Mtanzania kuwa waziri wa kilimo anaunda magenge ya upigaji Ela za Watanzania .mkulima hafaidiki na chochote
 
Kwani kazi ya Bunge ni nini?
 
Nashangaa sana Yani Raisi anamteua mtu sio Mtanzania kuwa waziri wa kilimo anaunda magenge ya upigaji Ela za Watanzania .mkulima hafaidiki na chochote
Mtanzania ni yupi? Yaani azaliwe,akulie Tanzania hajua nchi nyingine zaidi ya hii unasema sio mtanzania?Tuache hizo
 
Hivi hii program inaendeleaje???
Impact yake ikoje???
Results????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…