Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

Bujibuji kufunga ndoa kesho 22/10/2011

Bujibuji!!mbona anawatoto wawili?au bujibuji mwingine?km huyu wa jf anawatoto wawili na wake watatu!niko jiran naye
 
nasikia harufu ya kombe la bwana harusi, ni wapi huko tuje kula?
 
Huyu Bujibuji hii itakuwa mara yake ya ngapi kuoa? Kuna nyuzi zake humu anatupa visa vyake na mkewe. Au huyo tuliekuwa tunamsoma humu alikuwa "Mke" na si Mke?

Kama ni kweli, namuonea huruma huyo "Mke" mtarajiwa.

"Hongera".

mkuu naona unataka kutukumbusha habari za "theone VS the one wife" kule MMU!
BUJIBUJI watchout........mjini shule!
 
Dah! Leo ndio bujibuju anaoa???
All the best bana
 
Ndio tunatoka kanisani kuona kijana akikabidhiwa ubavu wake, soon shughuli inahamia ukumbini
 
where are u rose.jpg

bujibuji where are u
 
Back
Top Bottom