Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,730
- 9,088
hahahaaa bujibuji kapata jiko! Sasa chakula kitapikwa kisawasawa! Hureeeee tusiokua na majiko tulie ohio
yaani sipati picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaaa bujibuji kapata jiko! Sasa chakula kitapikwa kisawasawa! Hureeeee tusiokua na majiko tulie ohio
Huyu Bujibuji hii itakuwa mara yake ya ngapi kuoa? Kuna nyuzi zake humu anatupa visa vyake na mkewe. Au huyo tuliekuwa tunamsoma humu alikuwa "Mke" na si Mke?
Kama ni kweli, namuonea huruma huyo "Mke" mtarajiwa.
"Hongera".
You will never walk alone...... I am just behind you sirKhaa! bujibuji nae anaoa duhh sasa nimebaki peke yangu wallah
Hongera sana kamanda
Bujibuji!!mbona anawatoto wawili?au bujibuji mwingine?km huyu wa jf anawatoto wawili na wake watatu!niko jiran naye
Weka picha bobNdio tunatoka kanisani kuona kijana akikabidhiwa ubavu wake, soon shughuli inahamia ukumbini
Ndio tunatoka kanisani kuona kijana akikabidhiwa ubavu wake, soon shughuli inahamia ukumbini
Ndio tunatoka kanisani kuona kijana akikabidhiwa ubavu wake, soon shughuli inahamia ukumbini