CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Wala isikuume. Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.Kinachoniuma sana Rwanda inaingia mala 90 kwa Congo Drc.
Yani Eneo la Rwanda ni mala 90 ya eneo la Congo.
Congo shenziiiiiii kabisa
Nakazia hoja:Hamna jeshi kabisa...
Ila mkusanyiko wa wanamgambo..
Kwa nini waende mbali ilhali al-Shabab wapo jirani tu hapo? Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.Congo waombe msaada kwa Hamas au Hezbollah, waone kama m23 hawakuomba poo wenyewe
Ni wengi sana hao ..Wanajeshi elfu 10??? Something fishy
Sasa kaka, unaposema Al-shabaab wapo, unadhani wanaopigana washamba? Kama washamba,ilikuwaje ndege zikahamishwa! Mpaka MONUSCO wanakubali kwamba uwezo wa waasi hao ni mkubwa kuliko hata wa jeshi lao, ujue walishajiandaa.Kwa nini waende mbali ilhali al-Shabab wapo jirani tu hapo? Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Kwani huyo DRC huwa hana kitengo cha Intelijensia kwenye jeshi lake? Yan walijiandaa (nadhani sio kwa siku moja) hadi wakaiva na huyo Congo anaangalia tu.Sasa kaka, unaposema Alshabaab wapo, unadhani wanaopigana washamba? Kama washamba,ilikuwaje ndege zikahamishwa! Mpaka MONUSCO wanakubali kwamba uwezo wa waasi hao ni mkubwa kuliko hata wa jeshi lao, ujue walishajiandaa.
zaman nlikuwa na akili hz ila nimekuwa mkubwa naelewa , vita hiyo inaendeshwa na mabeberu ambao wanamiliki media , na vita hii ipo kweny points nying za huo ukanda ila m23 wanaposonga mbele ndo tunaambiwa ila yale maeneo wanarudishwa nyuma huez ambiwaKila wanapopigana M23/RDF hushinda na kuzidi kuteka maeneo.
Kiufupi jeshi la Drc hawana uwezo wowote wa kufanya 'counter offensive '.
T14 Armata Tresor Mandala
Taja maeneo M23 waliyorudishwa nyuma ambayo hatukuambiwa.zaman nlikuwa na akili hz ila nimekuwa mkubwa naelewa , vita hiyo inaendeshwa na mabeberu ambao wanamiliki media , na vita hii ipo kweny points nying za huo ukanda ila m23 wanaposonga mbele ndo tunaambiwa ila yale maeneo wanarudishwa nyuma huez ambiwa
Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.Kwani huyo DRC huwa hana kitengo cha Intelijensia kwenye jeshi lake? Yan walijiandaa (nadhani sio kwa siku moja) hadi wakaiva na huyo Congo anaangalia tu.
Vita za kwenye media ni propaganda tu. Goma hawakurudishwa nyuma? Chanzo cha kufungia playstore, na mitandao ya kijamii huko kwenye vita, si kielelezo tosha!zaman nlikuwa na akili hz ila nimekuwa mkubwa naelewa , vita hiyo inaendeshwa na mabeberu ambao wanamiliki media , na vita hii ipo kweny points nying za huo ukanda ila m23 wanaposonga mbele ndo tunaambiwa ila yale maeneo wanarudishwa nyuma huez ambiwa
Yeah. Hilo ๐ ๐ ni la msingi ili kuweka mizania ya taarifa vizuri.Taja maeneo M23 waliyorudishwa nyuma ambayo hatukuambiwa.
hii vita inaendeshwa na mabeberu , hata m23 wanayafanya haya ila hutoambiwa , kiufup huko Kivu ni dunia tofaut na huku kwetu , askari wengi ni wavuta bangi so hayo mamb ya kawaida snWapuuz nchi imewashida badala ya kurinda raia wanaiba Mali zao ๐ฎ๐ฎ
Vita za kwenye media ni propaganda tu. Goma hawakurudishwa nyuma? Chanzo cha kufungia playstore, na mitandao ya kijamii huko kwenye vita, si kielelezo tosha!
Kama ndo hivo; ni bora tukae pembeni tuwaachie mambo yao wayamalize wenyewe.Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.
KWani, mpaka hizo EAC na SADC zinamuamulu akae meza moja na M23, wakuu wa nchi hao wote ni wajinga?hii vita inachezeshwa na mabeberu , nguv ya DRC ni sisi majiran ambao ni EAC na SADC ila media zinatumika kutukatisha tamaa ndio maana wameanza jitoa mmoja mmoja , hv unaamin waliokufa kule Goma ni watz 2 na wasouth 14 ila M23 hawajafa ?
Rwanda inaongozwa na mwanajeshi na yuko paranoid, ina kundi la waasi FDRL wanaisumbua, imetoka kwenye genocide alafu ipo active kwenye conflict ya jirani yake DRC.Ni wengi sana hao ..
Ila nilishangaa takwimu za Rwanda wanawanajeshi wengi kuliko Tanzania nikasemaa kweli kazi ipo kanchi km kale kuwa na jeshi la watu 33000 elfu si mchezo
Yan askari anaacha kuwalinda raia au nchi yake unageuka kuwa mmojawapo wa waporaji. Inashangaza.hii vita inaendeshwa na mabeberu , hata m23 wanayafanya haya ila hutoambiwa , kiufup huko Kivu ni dunia tofaut na huku kwetu , askari wengi ni wavuta bangi so hayo mamb ya kawaida sn
Unajua Afrika Kusini ilikuwa na wanajeshi wangapi hapo Congo?Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.