Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

Kinachoniuma sana Rwanda inaingia mala 90 kwa Congo Drc.

Yani Eneo la Rwanda ni mala 90 ya eneo la Congo.

Congo shenziiiiiii kabisa
Wala isikuume. Ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi.

Kwenye uongozi usipokuwa na machale, ndo inakuwaga kama vile. Watu wameshakuteka akili, unakuja kustuka huna pa kukimbilia.
Af,unawaamini watu kutoka nje kuliko unavyowaamini wenzako. Unaanza kuwaondoa mmoja mmoja wengine wanaishia ndani.
Kwa sasa hivi, hiyo Congo, kuna watu walipewa vyeo kama kuwafumba mdomo, na badala ya kuwa karibu nao, rais aliwatenga. Ndo hao hao wanaomhimiza aongee na M23. Na mpaka sasa hana namna. Analazimika.
 
Hamna jeshi kabisa...

Ila mkusanyiko wa wanamgambo..
Nakazia hoja:
Hamna jeshi kabisa...
Ila mkusanyiko wa wanamgambo.‼️❎. Hapana. Sentensi hapo nyuma unerlined iboreshwe na isomeke: hao ni Mkusanyiko wa vibaka waliovaa manguo-nguo yanayofanana na kombat za jeshi. Dah! Video clip nimejitahidi nimeangalia nusu tu nika mute.
 
Kwa nini waende mbali ilhali al-Shabab wapo jirani tu hapo? Kweli ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi.
Sasa kaka, unaposema Al-shabaab wapo, unadhani wanaopigana washamba? Kama washamba,ilikuwaje ndege zikahamishwa! Mpaka MONUSCO wanakubali kwamba uwezo wa waasi hao ni mkubwa kuliko hata wa jeshi lao, ujue walishajiandaa.
 
Sasa kaka, unaposema Alshabaab wapo, unadhani wanaopigana washamba? Kama washamba,ilikuwaje ndege zikahamishwa! Mpaka MONUSCO wanakubali kwamba uwezo wa waasi hao ni mkubwa kuliko hata wa jeshi lao, ujue walishajiandaa.
Kwani huyo DRC huwa hana kitengo cha Intelijensia kwenye jeshi lake? Yan walijiandaa (nadhani sio kwa siku moja) hadi wakaiva na huyo Congo anaangalia tu.
 
Kila wanapopigana M23/RDF hushinda na kuzidi kuteka maeneo.

Kiufupi jeshi la Drc hawana uwezo wowote wa kufanya 'counter offensive '.

T14 Armata Tresor Mandala
zaman nlikuwa na akili hz ila nimekuwa mkubwa naelewa , vita hiyo inaendeshwa na mabeberu ambao wanamiliki media , na vita hii ipo kweny points nying za huo ukanda ila m23 wanaposonga mbele ndo tunaambiwa ila yale maeneo wanarudishwa nyuma huez ambiwa
 
Taja maeneo M23 waliyorudishwa nyuma ambayo hatukuambiwa.
 
Kwani huyo DRC huwa hana kitengo cha Intelijensia kwenye jeshi lake? Yan walijiandaa (nadhani sio kwa siku moja) hadi wakaiva na huyo Congo anaangalia tu.
Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.
 
zaman nlikuwa na akili hz ila nimekuwa mkubwa naelewa , vita hiyo inaendeshwa na mabeberu ambao wanamiliki media , na vita hii ipo kweny points nying za huo ukanda ila m23 wanaposonga mbele ndo tunaambiwa ila yale maeneo wanarudishwa nyuma huez ambiwa
Vita za kwenye media ni propaganda tu. Goma hawakurudishwa nyuma? Chanzo cha kufungia playstore, na mitandao ya kijamii huko kwenye vita, si kielelezo tosha!
 
Wapuuz nchi imewashida badala ya kurinda raia wanaiba Mali zao 🚮🚮
hii vita inaendeshwa na mabeberu , hata m23 wanayafanya haya ila hutoambiwa , kiufup huko Kivu ni dunia tofaut na huku kwetu , askari wengi ni wavuta bangi so hayo mamb ya kawaida sn
 
hii vita inachezeshwa na mabeberu , nguv ya DRC ni sisi majiran ambao ni EAC na SADC ila media zinatumika kutukatisha tamaa ndio maana wameanza jitoa mmoja mmoja , hv unaamin waliokufa kule Goma ni watz 2 na wasouth 14 ila M23 hawajafa ?
Vita za kwenye media ni propaganda tu. Goma hawakurudishwa nyuma? Chanzo cha kufungia playstore, na mitandao ya kijamii huko kwenye vita, si kielelezo tosha!
 
Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.
Kama ndo hivo; ni bora tukae pembeni tuwaachie mambo yao wayamalize wenyewe.
 
hii vita inachezeshwa na mabeberu , nguv ya DRC ni sisi majiran ambao ni EAC na SADC ila media zinatumika kutukatisha tamaa ndio maana wameanza jitoa mmoja mmoja , hv unaamin waliokufa kule Goma ni watz 2 na wasouth 14 ila M23 hawajafa ?
KWani, mpaka hizo EAC na SADC zinamuamulu akae meza moja na M23, wakuu wa nchi hao wote ni wajinga?
 
Ni wengi sana hao ..
Ila nilishangaa takwimu za Rwanda wanawanajeshi wengi kuliko Tanzania nikasemaa kweli kazi ipo kanchi km kale kuwa na jeshi la watu 33000 elfu si mchezo
Rwanda inaongozwa na mwanajeshi na yuko paranoid, ina kundi la waasi FDRL wanaisumbua, imetoka kwenye genocide alafu ipo active kwenye conflict ya jirani yake DRC.

Inazo sababu za kuwa na wanajeshi wengi tena wenye uzoefu, na kuwa na reserve yenye uhai kijeshi.

Maofisa wa jeshi wa Rwanda wengi wameshiriki mapigano mbalimbali, Rwanda kila mwaka wanajeshi wake hufa kwenye mapigano na wakati huu mwenye hizi misheni za M23 Rwanda inadaiwa imeishapoteza wanajeshi kama elfu moja. Na hapo hutokaa uone wapi Kagame ameenda kwenye mazishi au mapokezi ya miili ya wanajeshi waliokufa, hutoona wapi nchi imeomboleza wala raia kulalamika mitandaoni. Hata jeshi la Rwanda kupoteza wanajeshi 100 kwa mwezi sio big deal wala suala la kuumiza kichwa General Staff.

Sisi walikufa wanajeshi wawili ikaonekana maajabu na tataribu nyingi zikafanyika, raia wakatoa matamko mitandaoni.
 
hii vita inaendeshwa na mabeberu , hata m23 wanayafanya haya ila hutoambiwa , kiufup huko Kivu ni dunia tofaut na huku kwetu , askari wengi ni wavuta bangi so hayo mamb ya kawaida sn
Yan askari anaacha kuwalinda raia au nchi yake unageuka kuwa mmojawapo wa waporaji. Inashangaza.
 
Kabla ya DRC, South Africa kiliipata nini!Je, unajua wanajeshi wake sasa hivi wanatunzwa na M23? Maji, chakula, matibabu! Goma ilikaliwa na M23 tarehe ngapi? Kama intelligensia ya Afrika kusini iliingia mkenge, ya DRC inaweza! Na mbaya zaidi, wao wenyewe wanasalitiana.
Unajua Afrika Kusini ilikuwa na wanajeshi wangapi hapo Congo?
Na unajua ilikuwa na majukumu gani?

Yani Afrika Kusini hii inayouza silaha Marekani, Ujerumani na Finland itishiwe na M23. Walete brigade mbili full armed na waje kupigana vita uone kama kuna panya wa Rwanda au M23 utamuona hapo Mashariki mwa DRC.
 
Back
Top Bottom