Bukavu: M23 yakaribia uwanja wa ndege wa Kavumu

M23, yafika umbali wa km1 tu kufika uwanja wa ndege wa Kavumu. Wanajeshi wa FARDC,badhi wameanza kuingia nchini Rwanda, mjini Kamembe. Badhi ya wanajeshi wa Burundi, inasemekana wanarejea kwao.

Hii noma!
 
Mwaka m23 walishambulia na jeshi la DRC kwa 🚀 rocket.
Tena waliwatarget kwa kutumika drone wakawajua wapi walipo.
Kwa siku walikufa zaidi ya 80 hivi walionyesha video za drone za mashambulizi na maiti za m23
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…