BUKAVU: M23 yakuta mlango wa mji wazi

DRC is a failed state.

Nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu ipo njiani inakuja kwa spidi kali Sana
 
Elewa mkuu! Bukavu ujue ni mji mkubwa si kama Goma. Mpaka sasa,badhi ya maeneo jama wa M23 ndo wanafanya dolia huko, jeshi la serikali na Burundi wamekimbia kuelekea mpakani mwa DRC na Burundi. Kavumu hakuna mapigano makali mpaka sasa.
Kama una mawasiliano na hao Wapiganaji wa M23 wafikishie ujumbe kwamba kwa Sasa Viongozi wao wanapaswa watangaze ujio au kuzaliwa kwa nchi mpya ya Jamhuri ya Watu wa Kivu. Viongozi wa hao Waasi wajikite kuunda Serikali yao Madhubuti chini ya Jamhuri ya nchi mpya ya Kivu. Hii itasaidia sana kupata uungwaji mkono kutoka kwa Jumuiya za Kimataifa. Serikali mpya ya Utawala wa M23 ijikite Sasa katika kuhudumia Wananchi ili kuonyesha tofaufi Kati yao na Utawala wa Kinshasa
 
mawasiliano sina mkuu. Na mimi nakaa kujuzwa tu. Sema vyanzo ni uhakika asilimia 100.
 
Kwahiyo Makomandoo wa Burundi wamelala mbele?!๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Halafu Raisi wa Burundi juzi juzi alikuwa anapiga mkwara mzito sana.
Kwa akili yako ulidhani Burundi inauwezo wowote wa kupambana na vijana wanaoisambaratisha DRC pamoja na mercenaries wa Kizungu? Kama askari wa Sauzi, Bongo pamoja na Malawi walikamatwa kama kuku wenye mdondo ndiyo ije kuwa Warundi njaa kali.
 
Tshiseked nikweli kafail ila uwezo wa yeye kuunda jeshi imara ilkuwa ngumu. Hii nkwasababu kuna watu ndani ya serikali yake na majiran zake wanakesha kuhakikisha DRC inakuwa dhaifu hasa kijeshi na kiuchumi.
Kwa mfano huyo Colonel Nangaa unadhan ameibuka ghafla au alkuwa kwenye plan ya mda mrefu na kinachoendelea saiv?

Ukiwa katika utulivu wa akili kumlaum Tshiseked sio rahisi. Ni bora akimbie nchi kuliko kukaa meza moja na m23,congo wajifunze kuwa na msimamo hata wakiipoteza kinshasa leo, siku watakapo amka waamke katika falsafa ya msimamo kwakuwa watakuwa wamesha take risk.
Nguvu aliyonayo Prezda Kagame ni msimamo na ni risk taker, wala siyo usahih wa anachokifanya. Ndo maana hata hapa kwetu tz Prezda Magu alikubalika kwa misimamo ila kuna mambo mengi aliamua vibaya.

Kwa wanaodhan ni vzuri kuwe na mazungumzo kati ya m23 na DRC wachukue hiyo picha wakamshauri Prezda PK akaunde serikali moja na FDLR waone watakacho jibiwa, na kiukweli sio salama hata kidogo.

Kiufup congo wakubali kupigana mpaka tone la mwisho ila wasikubali kwa hiari kukaa meza moja na waasi itakuwa yaleyale ya watanguliz wao.
Kwasasa wakubali tuu kwamb ubinafsi, usaliti, ukabila(ukanda), upofu na uchu wa madaraka wa watangulizi wao umewatesa vya kutosha.
 
Dah,uchambuzi kuntu sana ๐Ÿ™Œ
 
Tunakusubiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ