Isue
Hivyo SA atajkuta katika mazingira magumu hasa kuleak kwa taarifa zao kwa maadui.
Hiyo risk inatakiwa waichukue wacongo wao kwanza then ndo outsiderz wawaboost , badala yake wanatimua mbio.
Isue nikwamba congo yenyew iko fragmented na mbaya zaid watu wamechoka vita. Kwahiyo hata waambiwe tunawauza kwa mkopo ila mtaishi bil vita watakubali.Waache wapeleke. Kilichozuia ndege kutua Goma, hata huko kitakuwepo. M23 ya sasa, ni tofauti na ya zamani. Angalizo: vitani kila upande unapoteza. Kama wanaoingia mijini ni maelfu, wengine wanabaki kulinda maeneo waliyoyapata, nani anajua ni wangapi? South Africa iliwahi kupigana vita wapi ikashinda!? Kama inawatakia matatizo mateka wake, basi ijichanganye.
Japo mpaka sasa wapo, na wengine bado wapo Burundi hawajajoin wenzao huko kibaruani.
Hivyo SA atajkuta katika mazingira magumu hasa kuleak kwa taarifa zao kwa maadui.
Hiyo risk inatakiwa waichukue wacongo wao kwanza then ndo outsiderz wawaboost , badala yake wanatimua mbio.