Championship
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,500
- 10,616
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.
Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.
Chini ya Mikel Arteta, ninaiona Arsenal ikibeba EPL, Europa, FA, UCL, Club world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote vijana hawa wawili watapokezana hiyo tuzo.
Kila la heri kwao.