Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

Martinelli na Saka hawa vijana wanajua mpaka wanakera shida ni kwamba wanacheza Arsenal.

Ningekuwa kocha wa timu ya taifa ya Brazil ningemuanzisha Martinelli over Vinicius Jr. Vini jina la Madrid linambeba ila Martinelli anajua sana
 
Sijawah ona timu ina wavulana watupu ikachukua ubingwa,kulikuwa kunatakiwa kule mbele na kwa mabeki wawepo wanaume kama watatu
Wanaume wapo kibao pale, Gabriel Jesus, Granit Xhaka na Thomas Partey japo nakubaliana nawe inataka watu wanaoweza kupambana msimu mzima kuweza kubeba kombe.
 
Back
Top Bottom