Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

Bukayo Saka na Gabriel Martinelli watabeba tuzo ya Ballon D'or kabla ya Kylian Mbappe na Erling Haaland

Mkuu angalia mpira acha mahaba na team
Hao vijana still wana mengi kuprove
Arsenal bado wimbi hili la matokeo lisikupe kibri

Depth ya scuad ipo meintanable au injuries hujui zipo + fatique na drop off ya form per player
Namuongelea saka na martineli kama individual
unataka nitumie misimu kumi ndio kusema huyu ni bora ?
messi akiwa na miaka 21 kashapata ballon d'or kwa nini hawakusema tusubiri msimu mwengine
chai ni nzuri ikinywewa ya moti
 
Tena hiyo ya nedved ilikuwa siasa kuliko unavyofikiri huo mwaka ulikuwa mwaka wa thiery henry
hebu fuatilia huo mwaka henry alipiga magogoli 20+ na assist 20+ na hakupata

Nedved alikuwa vizuri msimu huo.
 
Kitendo cha bukayo saka kuwa muingereza kina mdisqualify moja kwa moja kwenye kuja kuchukua tuzo ya ballon d'or waingereza hawana consistency kwenye mpira mfano kina teo walcot kina dele ali pamoja na harry kane watu waliwatabiria makubwa lakini mpaka leo hii hawakufanya yale waliotarajiwa kuyafanya angekuwa anatoka nchi tofauti na uingereza ningekubali kuhusu martinelli bado sana ana makosa mengi bado anatakiwa ku improve.
 
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.

Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.

Chini ya Mikel Arteta, ninaiona Arsenal ikibeba EPL, Europa, FA, UCL, Club world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote vijana hawa wawili watapokezana hiyo tuzo.

Kila la heri kwao.
Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
 
Saka one vs one imoo
One vs two imoo
One vs three imoo
One vs four imoo
One vs five imoo
Uyu bwana mdogo ni mtu na nusu
BUKAYO SAKA
Remember the Name##
 
Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
Kaa utulie kijana kabla hujaumia kwa wivu.
 
Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Naomba bangi izuiliwe Kwa sababu martinel na saka hata first eleven kwenye team zao za taifa ni ngumu.Haya matumizi mabaya ya bangi
Cheki ulivyo mjinga
Euro Saka ameanza mechi zote
hao unaowajua wewe walikuwa jukwaani wakimpigia makofi
 
Uwe unatikisa kichwa chako kucheck akili kama bado ipo ndio uje uongee huo upuuzi.
 
Kiwango cha soka kinachooneshwa na vijana hawa wawili, Saka na Martinelli kinavutia na kudhihirisha kwamba wako makini na kazi yao.

Kwa miaka mitatu iliyopita tumeona vijana hawa wakipikwa na kuwa mawinga hatari sana katika Klabu ya Arsenal. Kiwango chao cha kujituma na nidhamu kinaonesha hatma nzuri inakuja.

Chini ya Mikel Arteta, ninaiona Arsenal ikibeba EPL, Europa, FA, UCL, Club world, Super Cup n.k katika misimu kadhaa ijayo. Katika muktadha huo, bila mashaka yoyote vijana hawa wawili watapokezana hiyo tuzo.

Kila la heri kwao.
Mimi niipongeze tu Management ya Arsenal, wamekuwa wavumilivu sana na kumpa Arteta muda kuijenga team. Mafanikio hayaji haraka, yanahitaji maandalizi.

Msimu huu umeanza kudhihirisha mafanikio ingawa bado mapema kuhitimisha hili.

Timu zingine ziige kwa Arsenal kuwa wavumilivu katika kujenga team.
 
Sijawah ona timu ina wavulana watupu ikachukua ubingwa,kulikuwa kunatakiwa kule mbele na kwa mabeki wawepo wanaume kama watatu
 
Back
Top Bottom